Recent content by stoneblock

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waislamu mmeshindwa vipi kuwa na hospitali kubwa Kama KCMC na Bugando?

    alaf kuchapa watu wanaokula wamwachie nani
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto

    matafutw yule uliyemzalisha na ukamtelekeza
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakika na waambieni wake zenu waajiriwa ni wake zetu makazini

    na wake zenu ambao hawajaajiriwa ni wake zetu sisi boda boda na wafanyabiashara au wauza genge ukitoka tu kwenda kazini na yeye anatoka anakuja kwangu
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakika na waambieni wake zenu waajiriwa ni wake zetu makazini

    ikiwa ana mume wake huko na akirudi anakuheshimu haina shida kabisa maana hata sisi hatuna mpenzi mmoja
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

    biashara inahitaji kitu cha ziada either usali sana au uroge sana kama huwezi kati ya hivyo vitu viwili usifanye biashara
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

    Mimi sio mtoto kama ww idadi ya wanaonitegemea ni kubwa kuliko unavyofikiria huu muda unaotaka tujibizane ni bora nikafundisha hata watoto wangu usiku mwma sitajibu chochote kwako
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

    usipanic mdogo wangu sio kila kitu kwenye hii dunia ni lazima ukitumie kama umeona hakifai ni bora tu ukae kimya maana kuna watu wanateseka wanatafuta suluhisho la matatizo yao kuna ambao wapo tayari hata kuua na kufanya dhambi nyingine ili tu mateso yawaondokee hivho nlichoelezea ni kitu kidogo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

    watu kama nyie ndo great thinkers?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

    bafu langu lipo na choo hapo hapo ila kama unaweza kuogea nje au seh safi zaidi itakua poa
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

    jaribu utakuja kushukuru ala acha zinaa kama unafanya
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

    alaf anakuja mtu anasema ni uchawi uchawi wa kutumia 500 au 1000 haifanani na wa kwenda kwa binadamu wenzako na kuwapa kuku mbuzi na pesa
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

    matatizo au mafanikio?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

    kila kitu ni ushirikina chumvi ameumba Mungu haina wala haiathiriwi na shirki
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

    Nimekuwa nikifanya biashara na udalali kwa shida sana hadi siku nimeanza kutumia chumvi ya mawe sisemi ni dawa ila imani huponya CHUMVI imesaidia kunipa kipato cha 200k kwa week i Imenisaidia duka langu naona hela sasa sio kama zamani Imenisaidia kupunguza na kumaliza madeni korofi...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Napitia nyakati ngumu sana

    ogea chumvi ya mawe itasaidia unaipata masokoni kwa 500/300 tu
Back
Top Bottom