Napitia nyakati ngumu sana

Napitia nyakati ngumu sana

Pole sana kiongozi kweli iyo hali naielewa maana nimeipitia.
Kwa kuwa una bando na simu sasa hv huo ni mtaji tosha. Kuna mbinu nyingi watu wanatumia kupata pesa mtandaoni hata bila kuwa na mtaji. I am not trying to be a motivational speaker ila kwa kuanzia unaweza kufungua page ya udalali wa eneo ulilopo, (mkoa). Chukua picha kutoka kwa madalali wengine uwe unapost, ukipata mteja unamlink na dalali mwenye kazi then mnagawana maokoto. Kwenye udalali kuna pesa lakini inatakiwa kutumia mbinu za ziada katika kutangaza kama sponsored adds. Hakuna kitu kisichouzika mtandaoni. Naomba niishie hapa kwa leo.
Asante kwa ushauri wako mkuu
 
-Uchumi duni
-Kutengwa, kuchokwa, kutolewa kauli mbaya na presha kutoka kwa ndugu
-Matatizo ya kiafya(nina shida ya kusikia vizuri hali iyo inafanya baadhi ya watu kunifanyia dhihaka)
-Sina ndugu wala mtu yoyote wa kuongea angalao kupata relief ya moyo hii inafanya naishi na mambo mengi moyoni.
Ni mengi sana nakutana nayo ndugu yangu
Dah pole sana mkuu hii imenisikitisha sana
 
Back
Top Bottom