Vanilla hailimwi peke yake kwasababu ni mmea pori unahitaji sana kivuli ndio maana vanilla inalimwa kwenye mashamba ya kahawa na migomba au mashamba ya kokoa au miembe. Ni mmea unaotambaa kama passion fruit kwa hiyo unahitaji support ya miti mingine yenye kivuli ili uweze kustawi vizuri. Huu...
Sina hakika kama alikuambia ukweli watu wa sigara ni vigumu kununua vanilla ya shambani wakati wanaweza kupata ambayo tayari imefanyiwa curing na imekuwa extracted kupata vanilla concentrate.
Mche mmoja wa mita mbili unauzwa kwa kati ya tshs 4,000 na tshs 6,000. Mche mmoja unachua miezi 9 au zaidi kuanza kuzaa na unatoa kati ya kilo 1 hadi tatu z ya vanilla mbichi ambayo ikikaushwa inaweza kuleta takribani nusu au robo tatu ya kilo. Vanilla inatoa matunda mfano wa maharage ndiyo...
Vanilla inalimwa maeneo mengi ya Tanzania hasa Kagera, Kilimanjaro na Morogoro. Hapa Tanzania wakulima wengi wanalima vanilla kama zao la ziada na wengi wanakuwa na miche michache ni nadra kukuta mkulima ana miche (pods) zaidi ya mia mbili. Bei ya vanilla kwa kilo haifiki laki moja kama...
Hiyo engine ina nguvu sana lakini haiwezi kufua dafu kwa 2JZ GTE twin turbo. Hii engine ikiwa tuned inafikisha horse power 1,500 na ni miongoni mwa engine bora kabisa kuwahi kutengenezwa na toyota wakishirikiana na Yamaha.
Bro kwa anayejua nagari 2.5l no gari ambayo engine yake no durable sana. Watu wanaogopa gharama za mafuta kwasababu za kiuchumi lakini so kwasababu ya ubovu wa gari. Mimi Brevis naimudu mafuta kwahiyo haina shida kabisa. Hata Mimi ukinipa vx v8 au BMW 7 series naweza shindwa gharama za mafuta na...
Sio kweli mkuu. Mimi Nina Brevis 1jz tangu 2015 na bado naitumia hapa mjini nankusafiri mikoani na haijawahi kunisumbua. Nilinunua ikiwa na 66,000km na sasa ina 158,000km. Nilibadili timing belt tu baada ya 100,000km
Bujibuji
Kaka una kumbukumbu sana. Giriki yupo kama sikosei anaendesha adventure ya Kigoma. Nimepitia comments nyingi humu kuna watu hawajawahi kusafiri au ni wameanza kusafiri juzi. Hiyo Tawaqal ilikuwa inawahi kuingia Mbeya kuliko basi zote. Nakumbuka hata mechi za simba na yanga watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.