Recent content by Stimavoltage

  1. Stimavoltage

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    OFFICIAL NIT WHATSAPP GROUP 👇 Karibuni Mwaka wa kwanza wote KARIBU NIT 1st YEAR...📚🎓
  2. Stimavoltage

    JamiiForums Tanzania MSAADA KUHUSU CODES ZA MULTISELECTED TCU

    Hii pia ni changamoto, na muda unazidi kwenda 🙌
  3. Stimavoltage

    JamiiForums Tanzania MSAADA KUHUSU CODES ZA MULTISELECTED TCU

    Ahaaaaaa ahsante sana
  4. Stimavoltage

    JamiiForums Tanzania MSAADA KUHUSU CODES ZA MULTISELECTED TCU

    Naomba kwa anayeFahamu Deadline ya kuthibitisha (confirm) Chuo utakacho kwenda... Pia naomba nifahamishwe namna ya kupata CODE hizi kwa haraka zaidi 🙏🙏🙏🙏 natanguliza Shukran
  5. Stimavoltage

    JamiiForums Tanzania Karibu NIT (Chuo cha Taifa cha Usafirishaji)

    National Institute of Transport ni chuo pekee kinachoToa kozi za kuaminika za Tanzania katika masuala ya Usafirishaji. National Institute of Transport NIT pia kinatoa kozi mbalimbali za sayansi za kijamii , pamoja na masomo yanayohusisha Kompyuta 🙏🙏 Kwa maelezo na taratibu zaidi fuata linki...
  6. Stimavoltage

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya APPLICATIONS za notes(lectures) za vyuo vikuu

    Habari zenu wakuu , Kijana wenu ningependa kuomba msaada kwa yeyote ambaye anafahamu application za simu au computer (pc) zenye uwezo wa kuonyesha NOTES ZA ELIMU YA VYUO VIKUU TANZANIA 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
  7. Stimavoltage

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu

    Naomba kuuliza kuna ndugu yangu amepoteza result slip wakati wa usajili wa chuo kikuu ,je kuna utaratibu wowote unaweza kufanyika ili kumuokoa🙏🏽🙏🏽🙏🏽
  8. Stimavoltage

    JamiiForums Tanzania Swali la msingi wakuu

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
  9. Stimavoltage

    JamiiForums Tanzania Swali la msingi wakuu

    Shukran sana mkuu
  10. Stimavoltage

    JamiiForums Tanzania Swali la msingi wakuu

    Dume la nyani ila sina maana hiyo
  11. Stimavoltage

    JamiiForums Tanzania Swali la msingi wakuu

    Me nauliza tu dingi
  12. Stimavoltage

    JamiiForums Tanzania Swali la msingi wakuu

    Wale wale
  13. Stimavoltage

    JamiiForums Tanzania Swali la msingi wakuu

    Ningependa kufahamu juu ya zile asilimia za mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu je!? Kila asilimia moja huwa inakuwa na thamani ya shilingi ngapi!? msaada wenu wakuu wangu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
  14. Stimavoltage

    JamiiForums Tanzania Voltage in here

    😂😂😂😂 Me mwanaume wa Dar kweli ,we fanya kumkataza demu wako kuja huku ,nitampokea mm
  15. Stimavoltage

    JamiiForums Tanzania Voltage in here

    🙏🙏🙏🙏🙏
Back
Top Bottom