Recent content by Still a mom

  1. Still a mom

    Usaliti wenye ulazima

    Kinachonishangaza zaidi ni unavohangaika kumfatilia mtu ambae huwezi kumuacha[emoji38] Huyo mwanamke unampenda mno halafu unampenda kwa namna ambayo sio sahihi..nahisi ungeweza ungekua unamfungia tu ndani, unafatilia vitu ambavyo havina hata maana., kuna haja gani kuwafatilia mpk kina jafari...
  2. Still a mom

    Dhana ya mke hapigwi haifanyi kazi ndani ya ndoa, semeni ukweli

    Nakwambiaje,.tutolee njaa zako na bando lako la jero hilo Kitu pekee unachoweza kumpa mwanamke ni mimba [emoji23][emoji23] sura yenyewe nahisi imekaa kama umechorwa na mkono wa kushoto hiyo mimba jibebeshe mwenyewe swine wewe
  3. Still a mom

    Dhana ya mke hapigwi haifanyi kazi ndani ya ndoa, semeni ukweli

    Anivumilie kwa sababu gani labda nikikuuliza?? Mana unajua sana kusoma maisha ya watu kupitia uandishi wao..kama umehisi ananivumilia tu useme na sababu ya kunivumilia?! Endelea ku assume naongea naww kitu ambacho uta assume maisha yako yote, ww utaongea na hao hao mwanaume mzima unaonekana...
  4. Still a mom

    Dhana ya mke hapigwi haifanyi kazi ndani ya ndoa, semeni ukweli

    Kampige bibi yako umuache alama..unipige na huku wanawake kama mm unawaona usingizini ukilalia hiko kigodoro chako kama ulimi [emoji38][emoji38]peleka stress zako za njaa huko
  5. Still a mom

    Mwanaume aliyempa talaka mke wake na kumuoa mfanyakazi wao wa ndani huko Zambia

    Mwanaume mwenye majukumu yote hayo na anayatekeleza kwa ufanisi angalau wa 80% bado hana muda wa kuangalia nani anachati nani anafanya nn.. na ukishakuwa na mwanaume wa hvo automatically utamfulia utamfanyia kila kitu, tena kwa mapenzi sio kwa kujilazimisha..kinachoboa ni kwamba yeye hajui...
  6. Still a mom

    Dhana ya mke hapigwi haifanyi kazi ndani ya ndoa, semeni ukweli

    Kapigane na wanaume wenzio unataka upige mwanamke halafu ujione mwamba?? Unapigana na mtu ambae unajua kabisa hawezi kukurudishia ili ukajisifu vijiweni na wewe umepiga mke? Watu kama nyie akili zenu huwa ni fupi sana ni kama unampiga mtoto halafu akili yako inakwambia umemkomoa kisa tu hajaweza...
  7. Still a mom

    Mwanaume aliyempa talaka mke wake na kumuoa mfanyakazi wao wa ndani huko Zambia

    Tatizo sio kazi za ndani tatizo ni hawa wanaume wanaolalamika hadi kuacha wake zao kisa hawapiki hawafui..hao wanaume wengi wao hawana hata vya kugawana pasu kwa pasu end of the day, ni hasara tu kuishi nao,. Mwanaume anaejielewa hizo Sio priorities kwnye maisha yake hayo utayasikia tu kwa hawa...
  8. Still a mom

    Mwanaume aliyempa talaka mke wake na kumuoa mfanyakazi wao wa ndani huko Zambia

    Why would i defend myself with lies?? I’m not that desperate wewe..but you can think of whatever you want, kubishana na watu kama wewe ni kama kubishana na redio.. mm nakwambia nimeolewa wewe unasema sijaolewa na hunijui [emoji28][emoji28] are you ok upstairs
  9. Still a mom

    Mwanaume aliyempa talaka mke wake na kumuoa mfanyakazi wao wa ndani huko Zambia

    I’m not a single mom boss..plus kuwa single mom sio dhambi, ni bora hao single mothers wanaoishi pekeyao kuliko kukaa na wanaume wenye akili kama nyie ilimradi uonekane una mwanaume kumbe ni wanaume hewa[emoji2961] itoshe kuwatukana wanawake kuwaita single mothers wakati na nyie wenyewe...
  10. Still a mom

    Mwanaume aliyempa talaka mke wake na kumuoa mfanyakazi wao wa ndani huko Zambia

    Wanaume ambao hamna hela mna hasira sana [emoji2360][emoji2360] Halafu priorities zenu kwenye maisha ni za ajabu ajabu ..anyways [emoji2372] haya andika wewe basi vya maana mbona umeishia hapo hapo[emoji848]
  11. Still a mom

    Mwanaume aliyempa talaka mke wake na kumuoa mfanyakazi wao wa ndani huko Zambia

    Na wanawake wasipendeze? Akitaka kuweka kucha napo inawakera halafu mahawara zenu wote huko nje wanaweka makope wanafuga makucha. Kisa umemuoa ndio umfanye kama ajuza for what? Yaani nyie wote mliopanik Mungu amewapa wake wa kuendana na nyie hao wanawake muwashike sana sana siku akikuponyoka...
  12. Still a mom

    Mwanaume aliyempa talaka mke wake na kumuoa mfanyakazi wao wa ndani huko Zambia

    Habari yangu nzuri mkuu... I’m happily married nashkuru sana na nimeolewa na mwanaume anajielewa sana labda ndio sababu nashupaza sana shingo. Mume wangu amezaliwa na kukuzwa kwnye familia ambayo nikikwambia utaona kama ni imaginary family lakini amini usiamini ni hapa hapa bongo sio mzungu but...
  13. Still a mom

    Mwanaume aliyempa talaka mke wake na kumuoa mfanyakazi wao wa ndani huko Zambia

    Wanaume wa kiafrika ndo akili zenu zilipoishia..unafikiri ukishaoa mke umejipatia na mfanyakazi wa ndani, yeye huyo mume alikua amekamilika kwa lipi?? Sijaona sababu ya kuacha mke hapo na huyo msichana wa kazi ajiandae baada ya miaka kadhaa na yy atatafutiwa sababu., kama ninkazi wanawake kibao...
  14. Still a mom

    Usifanye hili kosa unaposalitiwa na Mkeo/Mwanamke wako

    Watoto hatutafuti wenyewe mnatupa nyie lakini sisi ndo tunaamua tunataka wangapi kwa jinsi uwezo wangu ulivo nataka wawili au mmoja au watatu kwa kujua kabisa hawanishindi no matter what... yani hata ukisepa usiponisemesha 20 yrs to come its your problems i wont ask you for shit[emoji119] Plus...
Back
Top Bottom