Wengine hawana staha wala chembe ya aibu.Ujinga,uzuzu na ujuha ndo umewatawala akilini.Msichana kamwe hawezi kukusahau sura labda jina,na ndo mana unaweza zungumza nae machache ukijua hakujui ghafla anafunguka na profile za watu mashuhuri wa kitaa unaowajua.
Niliyewahi kuwa nae,alinijali na aliheshimu maamuzi yangu.Alitumia muda mwingi kujua magumu nayopitia na daima alinipa moyo, nilibeep kumuacha ila mwepesi wa kuomba msamaha.Aliweza kutenganisha Pesa,Mapenzi na Utu.
Najiheshimu na pamoja na biashara zake bado hana ushawishi wa kuniweka dilema.Nimemwambia mapenzi kwa sasa sipendelei na namuheshimu sana japo yeye hatambui hilo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.