Recent content by steward

  1. S

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa ndege mbeya to mwanza

    nami nimeelimika
  2. S

    JamiiForums Tanzania Polisi: Mwigulu Nchemba alikodisha wahuni waliofanya vurugu zilizosababisha mauaji Ndago - Singida

    Mnataka kuniambia mwigulu yeye anamkataba wa kudumu na dunia hii hadi kupanga mauaji ya wenzake?? Je anafahamu kuwa na yeye ataiacha dunia hii siku yake ikifika? Tuliumbwa kwa udongo tutarudi kwa udongo. mfikishieni salamu zangu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Blood 0.

    unagawa damu kwa kila mtu mwenye kundi tofauti lakini unapokea kutoka mtu mwenye kundi O tuu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Walim wa geografia saidia kudadafua hapa

    Very simple. Sisi ni sehemu ya mzunguko huo hatuwezi kuuona wala kufeel.
Back
Top Bottom