Recent content by stevkayanda

  1. stevkayanda

    Mvua yasomba daladala na kuitumbukiza mtoni huko Mbezi Luis

    Kibaha mpakani sasa hiv panapitika na hamna daraja lililo vunjika
  2. stevkayanda

    Wewe Uliyebuni Tangazo Jipya Hili La Airtel Heko Sana Na Nimekukubali Mno Kwa Mautundu Yako!!!!

    Ahahaha airtel ni balaa hawa jamaaa. Mweny hii audio naiomba tafadhal
  3. stevkayanda

    UPDATES: Mgomo wa Madereva - Maeneo mengi nchini usafiri ni shida! Mei 04, 2015

    Ahahahaha yaaan leo hata sijajisumbua. Ilivofika saa kumi na mmona ndo kwanzaaa nkavuta shuka vizur. Maana kilichonopata jana duh hatareeee
  4. stevkayanda

    Naomba elimishwa juu ya tochi za trafic

    Weweeeeee. We ndo uache porojo asa ngoj nkupe elim fupi kuhi izo tochi. Iyo inachofanya ina2mia formula ya speed mbayo ni distance times time. Kwahiyo icho kifaa kiaangaliwa kwa mda uliowekewa labda kina sense ndani ya sec 30 inaanglai ndani ya 30sec ime2mia distance gani? Ndo inapat speed yako...
  5. stevkayanda

    Naomba elimishwa juu ya tochi za trafic

    Ahahaha tochi ile ni inasoma speed ya gar linalokuja kwa mbele tu kaka. Ushaliwa tyr
  6. stevkayanda

    ICT bongo !!!!!

    Ahahahaa i lik it😅😅😅😅😅
  7. stevkayanda

    Kuna madhara gani kuto-update apps

    Hautakuwa na latest version. Ila somtym unawez ukawa unaface tatizo flan hivi kweny app husika zen wanavotoa updates mayb ikawa washasolve na lile tatizo. So its better 2be up to date
  8. stevkayanda

    How to delete temporary files in your PC/Laptop? Does it improve performance?

    Njia rahis. Ingia my computer zen rights click kweny partition ambayo ina windows zen select properties. Itakuja kawindo chenye properties za hiyo partition yako zen utaon option ya dick cleanup. Hapo utwez kudelet temp file na file zingine ambazo hauzi2mii kirahis
  9. stevkayanda

    Msaada: Nimesahau password za BIOS

    Nitafute 0658 175727 nkusaidie
  10. stevkayanda

    Tecno m3 nikiondoa playstore madhara gan yatatokea

    Haina effect kwa cm ila ina effect kwa we m2miaj. Zen swal lingine. Kwann unatak kuiotoa? 4wat purpose?
  11. stevkayanda

    Msaada: Software muhimu kwa benki zote

    Ila the way system inavofanya kazi ni da same kwa bank zote isipokuwa kweny security protocols ndo huwa tofaut.
  12. stevkayanda

    Msaada: Software muhimu kwa benki zote

    Kwanz bank hawa2mii software wanatumia system. Ndo maana unawez ukaend kuwek ela wakakwambia mtandao hamna
  13. stevkayanda

    Msaada: Grand 2 inagoma Ku'root

    Je ushahstib kuroot na software ipi n ipi?
  14. stevkayanda

    Disa badili ya OGWhatsApp

    Powaaaa mkuu. Ngoja tujarub kugoogle zen tutakupa feedback
Back
Top Bottom