Habari JF people,
Nahitaji redio 20 za solar kwa ajili ya mradi vijijini pamoja na digital voice recorder. Ambae anajua kampuni au unadeal na hivi vitu please niambie. Kama utakuwa na contacts naomba unipe nikutafute. 20 kwa vyote its URGENT, ASANTENI
Habari JF people,
Nahitaji redio 20 za solar kwa ajili ya mradi vijijini pamoja na digital voice recorder. Ambae anajua kampuni au unadeal na hivi vitu please niambie. Kama utakuwa na contacts naomba unipe nikutafute. 20 kwa vyote its URGENT, ASANTENI
Asanteni sana wote mliochangia mada hii kwa sasa mtoto ameanza kuongea na anaongeza baadhi ya vocabularies. Muhimbili wamesema hana tatizo lolote ila chakusikitisha sikupata huduma ya audiologist wala speech therapist. Inasikitisha kuona huduma hizi kwa sasa Tanzania hazipo. CCBRT ilikuwepo hii...
nimeenda ccbrt hii huduma kwa sasa haipo aliyekuwepo alishaacha kazi karudi kijijini kwao. Bado nashughulikia appointment ya waliopo muhimbili. So far anazidi kutamka baadhi ya maneno mapya ila huwezi kumwelewa vizuri
It seems ww unapenda kubishana na sio kuelewa, huu sio uvumilivu bali ni mtu kakosa msaada. Zingine zinavunjika coz mtu anaona anauwezo hawezi kuvumilia ujinga. Tunajua maisha ya ndoa c raha ila co na karaha, ni shida na matatizo ambayo yanamface kila mwanadamu. Na ndio maana hata kiapo cha ndoa...
Asante kwa ushauri kama kumchanganya ni solution i think ni better nimpeleke shule kuliko kumpeleka mbali na mie kiukweli i cnt. I will take him to school instead naamini kama ni kumchanganya zaidi then school is the best, thanks :redface:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.