Recent content by steven senkondo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye apata ajali Kilwa, alikuwa akitokea Dar kuelekea Lindi

    Na bado atatoka hadharani kidhihaki watu..akili hekima ndogo.nadhani labda sasa atapata japo somo dogo kua kuna mwenyezi mungu na kauli za zinaonyesha kipuri ataacha sasa
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mkubwa BAVICHA kujiunga na UVCCM kesho

    Na kuna clips tunazisubiri star tv za cheap propaganda...ni shida kua kila mnachopanga kinajulikana nakua pre emptied..
  3. S

    JamiiForums Tanzania Vurugu Tunduma: Vijana Wawili wapoteza Maisha

    Ccm walifanya jambo kama hilo kwa kukata bendera za chadema almanusura fujo itokee polisi wakaingilia kati..hofu yangu ccm wataanzisha fujo zisinzo na msingi
  4. S

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole atakuwa channel 10

    Pole ndo nani...anajitutumua hana lolote hatuna muda tushampuuza zamani
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wiki ya kwanza ya mwezi Septemba, UKAWA watapatwa na mtikisiko Mkubwa sana ambao haujawahi kutokea

    Blabla humu zimekua zaidi ya facts
  6. S

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA ya Wafuasi wa Dr. Slaa Jijini Mwanza

    Wekeni picha kama za wale wa dar walivyopata kichapooo
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mbwambo: Simamia ukweli, hata ukibaki peke yako

    Mtachonga weeeeeee...mabilioni wanampenda..na nyerere alishasema anaependwa na wengi hilo ndo chaguo la wengi...hakuna msafi heri huyo mbaesema hafai lakini kwa nini watu wanampendaaaa..inamaana watee hawaelewi nyie mbaesema lowasa mbaya au ubaya wake mnaujua nyie tu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Mi nimechokaaaa.na kesho sahauniiiiiiiii umeme nchi nzimaa
  9. S

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Hilo ni tamasaha kama la serengeti fiesta tushazoea matamasha tena mengine tunatoa kiingilio...
  10. S

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Kwa sasa kuna mafuso mpaka magari ya taka yanapakia watu wanyonge..kwa kurubuniwa t shirt na buka kadhaa..Mabasi ya UDA nayo yanapakia buree kuelekea jangwani. Wasanii naskia 50...woteeee nikajaribu kutia hamasa ila nisawa nakumlisha mbuzi siku ya mdana ukitegemea atanenepa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    Lumumba mnaweweseka
  12. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    Mh.ritz tunajua kua hata nafsini mwako unajua watanzania wamechoka na kuburuzwa....
  13. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    Mimi nipo arusha na muda huu nipo moshi hakuna umeme
  14. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    Statement za prof.kwa nchi za wenzetu ni nzito sana
Back
Top Bottom