Hawezi kuchukua kwa sababu hayo madini mengi yapo Eastern Ukraine na Russia tayari ameshayachukua hayo maeneo na hatakuja kuyaachia kirahisi. Itabidi Trump wazipige LIVE na Putin na akishinda ndiyo achukue. Kwa sasa Russia wapo vema sana Kijeshi kuliko kipindi Vita inaanza. Wameshaliamsha DUBU...
Nilimuona huyu Mama mwaka 2014 Berlin akiwa na Mtoto wake wa Kiume. Mtoto alikuwa Mtu mzima tayari na Wenyeji wakatuambia huyo ndiyo Mwanjelwa mwenyewe.
RIP Tabia Mwanjelwa.... 😭😭😭
Kama aliiona Magharibi jioni Basi ni VENUS. Venus inaonekana kubwa kuliko Nyota zote. Kama jioni ilikuwa juu ya utosi Basi ni Jupiter ambayo ni ya pili kwa kuwaka na Kama ilikuwa Mashariki na Wekundu kidogo ni MARS.
Mwanzo Wazungu na NASA waliamini hivyo hivyo. Baadaye wakaja kuziona hizi Sayari zote. Wakaiona SIRIUS na zile nyingine mbili na baada ya Miaka mingi, wakaiona hiyo Nyota ambayo Dogoni waliisema. Ndiyo maana wanaitwa ASTRONAUTS.
https://en.wikipedia.org/wiki/Dogon_people...
Angalia ujumbe wa kwanza nimetoa maelezo. Maelezo yanafaa wale waliopo karibu na Ikweta. Kama upo mbali na Ikweta angalia Link chini na andika mji uliopo, utajua hizo sayari zinatoka saa ngapi na kuzama saa ngapi. Zikitoka Mashariki zinapita palepale Jua linapopita na hivyo angalia kwenye huo...
Leo hadi Mwezi wa tatu mwanzoni zitaonekana vema kabisa Kama anga ni safi.
Tatizo ni moja tu kwamba, kila siku zitazidi kusogea Magharibi kwenda kuzama na kulisogelea jua hivyo jioni itakuwa shida sana kuiona SATURN. Nadhani kuanzia tarehe 10/02 shida itaanza kuwepo kutokana na Program ya...
Sijui wangapi mlifanikiwa kuziona Sayari? Leo jioni jua likizama pia zitaonekana pamoja.
Huko angani, Telescope ya NASA ilizinasa zote SITA zikiwa pamoja na kupiga picha ambapo na Mwezi ukaongezewa Pembeni. Telescope hii ipo angani na ndiyo maana Picha ni nzuri sana.
Kwa sayari za Venus, Jupiter, Saturn na Mars unaziona kwa macho na huhitaji kifaa chochote.
Ukitaka kuona vema inabidi uende Dukani wakakupe kabisa na elimu. Ukinunua Darubini, unanunua na Filter yake kwa kila Sayari. Ni ghali kidogo kupata Darubini nzuri hasa Kama wataka kuona Ring ya Saturn...
Ratiba ya Sayari kutoka na kuzama leo hii kwa wale wa Dar es salaam. Muda wa saa 12 jioni hadi saa mbili na nusu usiku zitaonekana vizuri. Ikikaribia saa tatu usiku, Saturn na Venus zitakuwa magharibi zikisogea kupotea.
Jupiter ipo katikati karibu na zile nyota tatu za ORION.
Mars yeye yupo...
Wengi wameandika kuhusu kuangalia sayari zkuanzia jana ila hawajaweka urahisi wa jinsi ya kuziona kwa macho pale anga likiwa jeupe bila mawingu.
Nitatoa maelezo kidogo ili kuwasaidia wengi waweze kuziona.
Haya maelezo ni kwa wale wapo karibu na Ikweta zaidi. Ukiwa mbali na Ikweta basi utaona...
Mwandishi asante kwa Makala nzuri ya Vita za Dunia. Nimejifunza mengi.
Labda tu angalizo kwamba, Taiwan ni Sehemu ya China na bado kidogo waichukue bila hata Risasi moja.
Nadhani itakuwa Kama Hong Kong na China. Muda ulivyofika, China wakapandisha Bendera tu.
Vita ya Kwanza alianzisha Austria. Mfalme wa Austria baada ya Toto lake Bishi kwenda kumuowa Sophia ambaye hakutoka Familia ya Kifalme, Baba yake aliyekuwa Mtawala wa Austria huku Mwanaye aliyeishi Czech nankutawala hapo, alitaka sana kumpoteza. Alijua akienda Kosovo anakwenda kuuliwa ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.