Recent content by Steven Kabelinde

  1. Steven Kabelinde

    Ukitaka kufukuzwa CHADEMA fanya haya - humalizi mwaka unapotea kisiasa kabla ya 2015

    Nimesoma Leo Wosia Wa Dr.Kitila Mkumbo katika Gazeti la Raia Mwema la tarehe 25 December 2015. Ameandika mambo kuntu. Hili litatufungua labda
  2. Steven Kabelinde

    CHADEMA SAUT kutumika kuficha aibu ya Mbowe Mwanza

    Hata hivyo SAUT hawana tena wafuasi walishakimbia Chama. Chadema Saut hakina Mashiko kaka Hapa ni CCM tu wengi wamerudisha kadi. Na huyo Mbowe hawezi kuja hana wafuasi tena kwani mwezi Wa kumi aliahidi kuja lkn waapi alikuwepo mwanza akatokomea Hotelini hakutoka kwa kuwa hakuna wafuasi tena hii...
  3. Steven Kabelinde

    Clouds Wanadhalilisha Taasisi ya Urais

    Kuna vitu ambavyo lazima tuyaangalie kwa undani. Walichokifanya Clouds ni kitu cha kuigwa kutumia Jingle ya sauti ya Rais wangu ni kuwaambia watanzania kuwa wanazo Baraka zote toka kwa Rais. Rais anatoa shukurani zake na kutuaminisha watanzania Fursa ilikuwa ya kuigwa. Tuache kuwa biased...
  4. Steven Kabelinde

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Ki halisia inawezekana Zitto anapokea fedha hiyo Lakini haitumii yeye Binafsi bali kwa maendeleo ya jamii yake Hili nalo ni la kuangaliwa. Na kama hapokei kabisa ni mfano mzuri wa kuigwa na ningemshauri apokee na afungulie miradi ya maendeleo mengi zaidi Jimbon kwake
Back
Top Bottom