Hakuna anayetaka kuona Lissu akipewa adhabu kubwa. Lakini ushahidi wa video upo ukimuonyesha TAL akijenga hoja iliyojaa chuki kubwa dhidi ya serikali ya Samia pia ipo video nyingine ikimuonyesha Heche akirudia ujumbe ule ule wa TAL kuhusiana na 'kukinukisha'.
Sioni ni kwa namna gani Lissu...
Refinery ilikuwa lazima ijengwe Tanga, watanzania tukiwa na sifa ya kupinga kinachofanywa na serikali yetu haraka sana tukaanza kumpigia promotion Dangote bila ya kujua nini haswa ambacho serikali inaweza kukifanya chenye faida kwa miaka mingi ijayo.
Hakuna mwanajeshi wa Uganda aliyekuja kuzima vurugu za uchaguzi mkuu, wahuni walishughulikiwa na vijana wa hapa hapa nchini.
Mmepatwa na wasiwasi mkubwa baada ya tume nyingine kuundwa na Rais SSH, mkae kwa kutulia.
Anakuja Tanzania kuwekeza kwenye refinery haji kununua mafuta kwa Dangote.
Wabongo mnashangaza sana pale mnapokasirika kuiona serikali imepata mbia wa kufanya nae biashara pamoja na serikali ya Uganda.
Dangote imekula kwake kwenye suala la ujenzi wa refinery, hivi sasa anawapiga simu viongozi...
Acha uongo wa kitoto mkuu, Vitol na Dangote makampuni mawili tofauti kabisa.
Matajiri wanajuana na wanakutana kwenye biashara zao kubwa lakini hawana uhusiano wowote wa karibu wa kibiashara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.