Recent content by SteveJr99

  1. SteveJr99

    Kuna utajiri wa uhalali?

    Najitahid kutafuta sema hizi njia za uhalali kama ngumu hv 😆
  2. SteveJr99

    Kuna utajiri wa uhalali?

    Habarini wadau wa JF. Miaka ya Hivi karibuni kumekuwa na Motivation speakers wengi wakiwa na Bidii ya kuwaaminisha watu Fanya hiki au kile ili uwe UTAJIRI. Swali langu ni hili ni kweli kwamba Kuna UTAJIRI wa njia Halali YAANI yule mtu ambaye anajuhudi tu katika kazi/biashara yake/zake akawa...
  3. SteveJr99

    Nifanye kipimo gani kwa mtoto wa miaka 11 anae zimia mara kwa mara nijue anaumwa nini

    Prove me wrong by reference kwa kusema "HAMNA KITU KAMA HICHO SIO MAPEPO MKUU" na Mimi ntakupa reference twende kazi...
  4. SteveJr99

    Naombeni ushauri juu ya kurudi shule baada ya kuajiriwa serikalini

    Inawezekana kama ulivosema ila tanguliza kusudi lako kuliko Tamaa ya kufanikiwa nkimaanisha usitake kulazimisha kusoma degree ili uje kulipwa pesa nyingi kwa kitu pia usichokipenda baadae kumbe Kuna fani nyingine za diploma nzur ambazo untafanya kazi na kuenjoy maisha Yako.....so hko...
  5. SteveJr99

    Baada ya kulipa Mahari kwao Ndipo nimegundua ana Majini

    Kama mwanamke kwa maamuzi yake atakomaa asibadili dini Kama mwanamke kwa maamuzi yake atakomaa kutobadili dini boss piga chini hutoweza huo mziki na shkuru Bado hujampa ujauzito.
  6. SteveJr99

    Baada ya kulipa Mahari kwao Ndipo nimegundua ana Majini

    Hapana...90% ya malalamiko atayokwambia anaumwa sio ugonjwa ila Hayo mapepo na lengo ni kukuachanisha tu na wewe hamna kingine Yani Huwa wanataka akae yeye kama yeye so ukimuacha kibinadamu yy atajisikia vibaya ila kwa Hayo madude yatakua yamefurah na hii yote inatokea kutokana na Imani Yako...
  7. SteveJr99

    Baada ya kulipa Mahari kwao Ndipo nimegundua ana Majini

    Inawezekana lipo kusudi la kukutanishwa nae. Kama umempenda unaweza kumsaidia kwani hakuna kinachoshindikana kwa MUNGU ila kabla ya kuanza kumsaidia hakikisha unakuwa na vitu vifuatavyo 1. Uwe vizuri kiimani yaani uwe unajua kuomba vizur, Kusali na kutoa sadaka. 2. Uwe jasiri na mwenye msimamo...
  8. SteveJr99

    Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

    Kila mtu ashinde mechi zake 😁😁
  9. SteveJr99

    Nimeshindwa kuelewa kabisa aisee

    Mbona kafafanua vizur tu au ww ndo unalazmsha kutomuelewa coz wangapi wamejikuta wanadaiwa kwa sababu mtu flan kukopa bank au kampun flani ya kifedha kwa kutumia credentials zake. Kuna tukio lilitokea mwaka jana la mume kujiua baada ya mke kukopa fedha nyingi kwa kutumia jina la mume wake na...
  10. SteveJr99

    Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

    Kutafuta mwenza wa maisha kwa kutegemea utashi,Elimu,pesa au akili zako mwenyew ni kazi sana hata Mimi nilipitia changamoto sana za kutafuta mwenza baada ya kuhitimu chuo ila namshkuru MUNGU alinipatia MKE MWEMA asee ingawa haikuwa rahisi. Binafsi baada ya kuchoshwa na mambo ya wanawake...
  11. SteveJr99

    Mtu anayetoa milion 10 kununua bajaji Ili apewe 20k Kwa siku ni kufanya biashara kichaa

    Sijazungumzia Bajaj 3 mm sema nn Nunua mwanang tatu alaf ajiri wakuendeshee wakupe 20K 😂😂😂 sikulazimishi Life is a choice na pesa ni zako
  12. SteveJr99

    Mtu anayetoa milion 10 kununua bajaji Ili apewe 20k Kwa siku ni kufanya biashara kichaa

    "Biashara ni wewe mwenyew" mambo ya kusema wewe unakunja 4 unategemea mtu humjui hakujui et akufaidishe ww Mhh sahau, Kama unanunua bodaboda, bajaji sijui umefungua salun hakikisha unaiendesha ww mwenyew au kama ni ofisi na umeajiriwa hakikisha unatenga masaa Yako kadhaa ya kukaa kwenye ofisi...
  13. SteveJr99

    Unaweza kuwa mchapakazi lakini usiwe hardworking

    For my Experience, Hardworking is Good kama ni Self employed but kama ni private/Government Employed Mhh Nowadays people don't care my furendi even your Boss don't care wakati wewe ukiendelea kuichosha akili na mwili kwa Expectations za kuwa promoted/salary increments utaishia tu kupewa vijisifa...
Back
Top Bottom