Recent content by Steve_Analysts

  1. S

    JamiiForums Tanzania Je, North Korea ina uwezo wa kumnyamazisha mmarekani

    Asee sidhani kama kuna haja ya NK kuomba amani wakati adui (US) kashatangaza vita.Mapanki akaze shujaa ni yule anaefia vitani sio maneno mengi mtaani.Hawa US kuwa super power sio sababu ya kutia mkwara nchi zingine....mi nataka bwana mapanki akaze tu regardless what,haiwezekani demu wako ashikwe...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Maonyesho makubwa ya kijeshi huko Korea Kaskazini, dadadeki

    Wakuu naomba kujua nini hasa sababu ya msingi ya US kutaka kuivamia NK,na kama ni ishu ya Nuclear weapon je ni nani anapaswa kuzimiliki na nani hapaswi kuzimiliki na kwa sheria ipi?Je Marekani ana mamlaka gani kwenda kuattack NK,hakuna mamlaka ya dunia mfano UN inapaswa kuhandle ishu kama hizo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa maelezo ya Msanii Roma baada ya kuongea na waandishi wa habari

    Wakuu msiombe yawakute haya mambo yaliomkuta Roma,tuyasikie tu na kuchangia kwa kuwa tupo huru....yakikukuta hutanyanyua mdomo,kuna watu si wema duniani hasa wanapoahidiwa hela kwani husahau ubinadamu na kujivika ushetani.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anatafuna meno usingizini

    Kuna mambo ya kuvumiliana kwenye mahusiano,mojawapo ndo hilo,so dont take it seriously as long as it does not affect you
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Maumivu ya kwenye joint za goti

    Nashukuru kwa ushauri wenu wakuu,naufanyia kazi ntawapa feedback baada ya muda flani
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Maumivu ya kwenye joint za goti

    Sawa chief nadhani ntaanza dozi ya bamia very soon niweze kurejea kwenye ulingo wa mazoezi ili kuijenga vyema afya yangu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Maumivu ya kwenye joint za goti

    Mkuu sijapata dawa,bado natafuta suluhisho.Tatizo hilo limenifanya nipunguze zoezi la kukimbia asubuhi
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wakinadada mkitaka mwanaume perfect nendeni Veta au Sido mkachonge sampuli muitakayo

    Kila mtu afate roho yake inapopenda,ndo maana mungu kaweka binadamu wa species tofautitofauti mabonge,vi-mbu,wenye vitambi,watafuta 6 park.....so we komaa na choice yako dont pick the wrong choice alaf uje ulalamike hapa
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Maumivu ya kwenye joint za goti

    shukrani boss
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Maumivu ya kwenye joint za goti

    Nakimbia kuzunguka uwanja wa mpira,natumia raba za kawaida (wanaziita simple zina soli ya kawaida). Huenda ikawa ni sababu ya maumivu ya magoti...........Je nitumie raba zenye soli ya aina gani,na sehemu gani ambayo napaswa kufanyia mazoezi ya kukimbia?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Maumivu ya kwenye joint za goti

    Habari zenu wakuu, Takribani wiki moja sasa imepita nimekuwa nikikabiliwa na tatizo la maumivu ya magoti,hali hii imesabababishwa na mazoezi ya kukimbia kila siku asubuhi uwanjani katika jitihada za kutengeneza afya. Naomba kupata ushauri kutoka kwa wataalamu na wenye uzoefu na hili jambo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke?

    huyo mwanamke ameonesha kutokumjali kamanda wala hana hata chembe ya upendo....kamchukulia easy bila kujali jamaa katoka kufanya hustling za maisha then yeye hata kuonyesha mahaba kumfanya jamaa arelax mentally and physically...yeye alichoona cha msingi ni kudai hela ya kununua nguo,hajui...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wale tunaoamini biblia, pata ufahamu kuhusu pete ya ndoa

    hata YUDA mwanafunzi wa Yesu alitumia mwamvuli wa kuwapo miongoni mwa wanafunzi YESU but still alimsaliti YESU....the fact is the true colour you have is within your heart....potezea kuvaa MAPETE coz kama huna mapenzi ya dhati kwa yule uliemvalia pete....sisi wapita njia we dont care as long as...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wasichana 'mnaoombaomba' hela, imefanya wanaume wasiamini wasichana

    kwani we uliuziwa na nani mpaka uamue kuigeuza kitega uchumi
Back
Top Bottom