MKUU wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Pololet Mgema amestushwa na taarifa zilizosambazwa jana Mei 20,2018 na Kituo cha Habari cha ITV,zinazohusu kufungwa kwa zahanati tatu katika wilaya hiyo kwa kukosa watumishi.
Akizungumza na wanahabari ofisini kwake mjini Songea,Mgema amesema Kituo hicho...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
TAMKO LA MADIWANI WA CHADEMA HALMASHAURI YA MANISPAA SHINYANGA. KUPINGA AZIMIO LA KURUHUSU SHIRIKA LISILO LA KISERIKALI LA RAFIKI SDO KUFANYA SHUGHULI ZAKE KWA "MASHOGA" NA "MACHANGUDOA" KATIKA MANISPAA YA SHINYANGA.
Mapema wiki iliyopita, wananchi wa Mkoa wa...
NA STEPHANO MANGO, SONGEA
BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoa wa Ruvuma limemfukuza kazi Mhandisi wa Idara ya ujenzi Daud Basililo kwasababu ya uzembe na ubadhilifu na kutokuwa makini katika kusimamia miradi mbalimbali ya ujenzi na kuisababishia Halmashauri hiyo hasara ya...
WAANDISHI WA HABARI RUVUMA WAASWA NA STEPHANO MANGO, MADABA
MBUNGE wa Jimbo jipya la Madaba mkoani Ruvuma, Joseph Mhagama amewataka Waandishi wa habari katika mkoa huo, kusaidia kutangaza na kuandika fursa mbalimbali zilizopo katika halmashauri hiyo hatua ambayo itasaidia kuvutia watu...
Nimefuatilia kwa Umakini mkubwa mchakato wa kinyang'anyiro cha uspika, nimejiridhisha pasipo shaka kuwa kati ya ya makada wote wa ccm waliochukua na kurudisha fomu ya uspika, dkt nchimbi anatosha kuwa spika
Nimefuatilia kwa Umakini mkubwa mchakato wa kinyang'anyiro cha uspika, nimejiridhisha pasipo shaka kuwa kati ya ya makada wote wa ccm waliochukua na kurudisha fomu ya uspika, dkt nchimbi anatosha kuwa spika
NA STEPHANO MANGO, SONGEA
MKE wa mgombea Urais kupitia umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA) Regina Lowassa anatarajia kuhutubia maelfu ya wananchi wa Manispaa ya Songea na vitongoji vyake kesho(leo) kwenye kiwanja cha wazi kilichopo kata ya Bombambili Katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea...
NA STEPHANO MANGO, SONGEA
JIMBO la Peramiho linaundwa na kata 16 zenye tarafa mbili za Ruvuma na Mhukuru ni miongoni mwa majimbo tisa ya uchaguzi yalipopo mkoani Ruvuma ambayo yanaendelea na harakati za kampeni za kuomba kura kwa wananchi wake ili kuunda Serikali ya Awamu ya tano
Jimbo hilo...
NA STEPHANO MANGO, SONGEA
KATA ya Maposeni ina vijiji viwili vya Mdunduaro na Kijiji cha Maposeni ni miongoni mwa kata 16 za jimbo la uchaguzi la Peramiho lililopo katika Wilaya ya Songea Vijijini ambalo linagombewa na Jenista Mhagama kupitia chama cha Mapinduzi na kwamba Kata hiyo kwa...
MGOMBEA UBUNGE WA CCM PERAMIHO AWATANGAZIA NEEMA WANANCHI
NA STEPHANO MANGO,PERAMIHO
MGOMBEA ubunge kupitia chama cha mapinduzi CCM jimbo la Peramiho Jenista Mhagama amesema kuwa endapo wananchi watampa ridhaa ya kuwa mwakilishi wao kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
MWANAFUNZI wa darasa la 5 katika shule ya msingi Mahela iliyopo eneo la Ruhuwiko Mbinga mjini Frank Hyera (15) amefariki dunia baada ya kupigwa na jiwe kichwani na mwanfunzi mwenzake.
Akizungumza na MANGOKWETU jana ofisin kwake Kamanda wa polisi mkoa wwa Ruvuma Mihayo Msikhela alisema kuwa...
MWANAFUNZI wa mwaka wa pili wa chuo kikuu cha St. Joseph tawi la songea Mkoani Ruvuma Emmanuel Peter Lunguya (25) amekutwa chumbani kwake amekufa naada ya kujinyonga kwa kutumia kamba za viatu zilizokuwa zimefungwa kwenye kenchi la paa ndani ya chumba alichokuwa amepanga.
Habari zilizopatikana...
KUFUATIA vuguvugu la kisiasa ambalo limeendelea kushika kasi na kutishia hali ya amani katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Mbinga mkoa wa Ruvuma, kutokana na wananchi kuutaka uongozi husika wa chama hicho wilayani humo utangaze matokeo ya nafasi ya ubunge uchaguzi kura za...
UCHAGUZI wa kura za maoni nafasi ya ubunge na madiwani wa chama cha mapinduzi (CCM) mkoani Ruvuma umemalizika kwa matokeo ya awali, mkuu wa mkoa wa Kirimanjaro Leonidas Gama amewabwaga makada wenzake 7 kwa kupata kura 6287 wakati aliyekuwa waziri wa mazingira Dokta Thereza Uviza amepata kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.