Recent content by stella1975

  1. stella1975

    Kumbe aliesema kuwa kuna punguzo la aslimia 80 kwenye maduka ya Dar hajui asilimia 80

    Wakuuu, kuna mtu alisema kuwa kuna punguzo la asilimia 80 ya mauzo ya nguo Kwenye maduka ya Dar kwa ajiri ya kusherehekea maadhimisho ya covid-19, kumbe mtu mwenyewe hizo asilimia hazijui maskini Wangu. Nimemsikiliza akihojiwa na radio moja ameulizwa swali kuwa Kwa mfano nguo iliyokuwa inauzwa...
  2. stella1975

    Je, shule zikifunguliwa, wazazi tunasomesha watoto private tutalipa ada ya mwaka mzima?

    Hilo halipo Mkuu, Kama ni hivyo mbona unapomhamisha Mtoto muhula wa mwisho haulipi? Maaana yake ule muhula hutoi Huduma, hapa lazima kutatokea mjadala maana wewe mwenye shule ukilazimisha utaumia waweza kushtakiwa na dhahili ukishtakiwa huwezi kushinda Sent using Jamii Forums mobile app
  3. stella1975

    Shangazi wanatishia kuniloga na wanashirikiana na polisi kunimaliza

    Tembea na biblia masaaa Yote hawatafanikiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. stella1975

    Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

    johnthebaptist, Kwenye vifaaa hapo sasa, Mkuu hataki kuona mtu anapeleka vifaaa hata Kama ni Rafiki yake atamsema na kumkashifu na kutafuta maneno meeengi ya kumdalilisha na kuzua uongo, yeye anataka upeleke PESA PESA PESA hapo atakusifia na kukupongezaaaaa na atakupenda mno daaaah PESA Sent...
  5. stella1975

    "Kuishi na Corona" kunavyopotoshwa Tanzania

    Mkuu haujui kuwa watu wanapukutika Tanzania? Au Kwa kuwa wanaficha kwa kisingizio kuwa vipimo vimeharibika na mapapai? Idadi ya maaambukizi Tanzania hata kenya haitufikiii hata nusu, na waliokufa hata kenya haitufikii hata nusu, angalia tu waziri wa mambo ya ndani kapoteza Ndugu Saba hiyo ni...
  6. stella1975

    Ulaya na Marekani wanaondoa raia wao nchini, hao watalii watatoka wapi baada ya kufungua anga?

    Wanajitekenya wenyewe hao wanaosema kuwa watalii wanakuja, hata huyo mtalii akija Tanzania ndani ya miez hii mitatu atakuwa Hana akiri Sent using Jamii Forums mobile app
  7. stella1975

    Ulaya na Marekani wanaondoa raia wao nchini, hao watalii watatoka wapi baada ya kufungua anga?

    Wanajitekenya wenyewe halafu wanacheka wenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  8. stella1975

    Corona: Kwanini kuna usiri? Hivi vifo ni kweli au kiini macho?

    Kwa hiyo wewe unataka ukatae kuwa sio corona? Mbona Kama mtu akisema kuwa ni corona mnaumia? Kwani mmesikia kuwa corona imeletwa na nyie? Kwa nini mnaumia? Hamjaileta nyie acha kuhangaika kuzuia kuwa sio corona Sent using Jamii Forums mobile app
  9. stella1975

    Corona: Kwanini kuna usiri? Hivi vifo ni kweli au kiini macho?

    Soma post namba nane, halafu usijitoe Faham, watu wanakufa Kama kuku, Kama hujakutana nao subiri ila pia Faham kuwa watanzania wako zaid ya million nane na nchi ni kubwa wanaweza kufa watu wengi Sana usijue Kama hajafa kwenu au nyumba ya Jirani Na faham kuwa ikifika hatua kila mtanzania akajua...
  10. stella1975

    RC Paul Makonda tengua kauli tafadhali

    Makonda huyu huyu wa matamko ndio atengue kauli au makonda yupi? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. stella1975

    Utafiti: Walioambukizwa Covid-19 hawapati maambukizi mapya

    Mimi nashangaaa huo utafiti Wakati kule Korea watu walirudia kuugua na dunia ikatangaziwa hivyo sasa huuu utafiti sielewi kabisaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. stella1975

    Kwanini Dkt. Kalemani alipokuwa ofisi za TANESCO - Geita alivaa barakoa na alipoenda kanisani kujumuika na Rais Magufuli akaivua?

    Mimi mwenyewe sielewi kilichotokea had wote wakaenda pasipokuvaa mask, nimejiuliza mno aiseee huenda kuna usaniii unalazimishwa kwa hisia kufuta ugonjwa huuu kitu ambacho ni kibaya Sana Sent using Jamii Forums mobile app
  13. stella1975

    Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

    Mkuu Mimi sizungumziii aliyoyaongea nazungumzia zile Picha kuwa, ilikuwaje wakaenda wote pasipo mask? Nadhani hata wewe huenda unajiuliza hivyo Mkuu, Kama wameelekezwa hivyo maaana yake ni nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. stella1975

    Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

    Katika akiri tu Ya kawaida, kwa kipindi hiki huwezi kwenda kwenye sehemu ya mikusanyiko mikubwa ukakuta hakuna alievaa mask ,kitu kingne sidhani kuwa kwenye kikao cha rais unaweza kuruhusiwa kuingia pasipo kuvaa mask. Picha zinaonesha kuwa watu wote hawakuvaa mask, hiii maaana yake wote...
  15. stella1975

    Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

    Wakuuu hiii taarifa ya uteuzi inasema kuwa ni kuanzia tarehe 16 na taarifa haikusema Juu Ya kuapishwa, sasa najiuliza kuwa ameteuliwa na uteuzi wake unaanza tarehe 16 inamaaana anaanza Kazi tarehe 16 kabla ya kuapishwa? Au kaapishwa kimya kimya? Na Kama kaapishwa kimya kimya basi mzee atakuwa...
Back
Top Bottom