Kumbe aliesema kuwa kuna punguzo la aslimia 80 kwenye maduka ya Dar hajui asilimia 80

stella1975

JF-Expert Member
Nov 25, 2018
876
1,000
Wakuuu, kuna mtu alisema kuwa kuna punguzo la asilimia 80 ya mauzo ya nguo Kwenye maduka ya Dar kwa ajiri ya kusherehekea maadhimisho ya covid-19, kumbe mtu mwenyewe hizo asilimia hazijui maskini Wangu.

Nimemsikiliza akihojiwa na radio moja ameulizwa swali kuwa Kwa mfano nguo iliyokuwa inauzwa tsh. 100,000 mtu anatakiwa aende na shilingi ngapi amesema kuwa Kwa punguzo la asilimia 80 anatakiwa aende na tsh. 92,000.

Eti punguzo la asilimia 80 kwa shilingi laki moja eti ni 8,000 MUNGU wanguuuuuuuuuu! Hivi huyu bwana alienda shule kweli? Nimesikitika Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shaffin Simbamwene

Verified Member
Nov 16, 2008
1,962
2,000
Wakuuu, kuna mtu alisema kuwa kuna punguzo la asilimia 80 ya mauzo ya nguo Kwenye maduka ya dar kwa ajiri ya kusherehekea maadhimisho ya covid-19, kumbe mtu mwenyewe hizo asilimia hazijui maskini Wangu,nimemsikiliza akihojiwa na radio moja ameulizwa swali kuwa Kwa mfano nguo iliyokuwa inauzwa tsh. 100,000 mtu anatakiwa aende na shilingi ngapi amesema kuwa Kwa punguzo la asilimia 80 anatakiwa aende na tsh. 92,000 ,eti punguzo la asilimia 80 kwa shilingi laki moja eti ni 8,000 MUNGU wanguuuuuuuuuu! Hivi huyu bwana alienda shule kweli? Nimesikitika Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
100000*80/100= 80,000
So punguzo ni 80,0000 unalipa 20,000 tu hapo.
 
Coaster2015

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
2,046
2,000
Wakuuu, kuna mtu alisema kuwa kuna punguzo la asilimia 80 ya mauzo ya nguo Kwenye maduka ya dar kwa ajiri ya kusherehekea maadhimisho ya covid-19, kumbe mtu mwenyewe hizo asilimia hazijui maskini Wangu,nimemsikiliza akihojiwa na radio moja ameulizwa swali kuwa Kwa mfano nguo iliyokuwa inauzwa tsh. 100,000 mtu anatakiwa aende na shilingi ngapi amesema kuwa Kwa punguzo la asilimia 80 anatakiwa aende na tsh. 92,000 ,eti punguzo la asilimia 80 kwa shilingi laki moja eti ni 8,000 MUNGU wanguuuuuuuuuu! Hivi huyu bwana alienda shule kweli? Nimesikitika Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ndie Mkuu wa mkoa ambae tunaambiwa ni bora kuliko ma RC wengi hapa nchini, aliyemteua nae ni bogas kama yeye, hawa ndio ccm namba 1, lakini nasikia alisoma mpaka pale mlimani !!, inamaana alitoka kapa pale mlimani ??.
 
Shoctopus

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
2,560
2,000
Wakuuu, kuna mtu alisema kuwa kuna punguzo la asilimia 80 ya mauzo ya nguo Kwenye maduka ya Dar kwa ajiri ya kusherehekea maadhimisho ya covid-19, kumbe mtu mwenyewe hizo asilimia hazijui maskini Wangu.

Nimemsikiliza akihojiwa na radio moja ameulizwa swali kuwa Kwa mfano nguo iliyokuwa inauzwa tsh. 100,000 mtu anatakiwa aende na shilingi ngapi amesema kuwa Kwa punguzo la asilimia 80 anatakiwa aende na tsh. 92,000.

Eti punguzo la asilimia 80 kwa shilingi laki moja eti ni 8,000 MUNGU wanguuuuuuuuuu! Hivi huyu bwana alienda shule kweli? Nimesikitika Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo anastahili kufundisha udsm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
13,665

Tuwekee huo mkanda, tuanze kucheka kwa vigelegele na shangwe kubwa ambayo hatujawahi kuipiga tokea nchi yetu ipate Uhuru wake! :p 😆
 
Joyce joyce

Senior Member
May 23, 2020
111
1,000
Wewe unahangaika na makonda Wakati hata yeye mwenyewe akimaliza kuongea anawauliza watu kuwa hivi nimeongeaje? Yani hata yeye anakuwa hakumbuki anachoongea, Leo hiii ukimuuliza issue ile ya wanawake wajane Au ile ya wanawake kutelekezwa ataruka mita mia kuwa hajawahi Sema issue za Aina hiyo, kiujumla makonda amesababisha cheo cha RC kionekane cheo kidogo mno kisicho na thamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spider

JF-Expert Member
Feb 13, 2011
1,526
1,500
shabash..nini pale.ni boko pale limetolewa na kiungo mshambuliaji wa Dar FC.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom