Kwa gharama hizo kuna haja ya kupata taarifa kutoka serikalini?
Maana yk wamezishika njia zote hata gharama watapanga watakavyo kwakuwa hawana mshindani, abiria watapanda tu kwakuwa hakuna mbadala.
Kama kungekuwa na washindani gharama zingepungua
Ubinafsi/umimi n mbaya sana katika taifa, haya mambo yalishatokea tulitekeza ss tuamke na kuanza safar kila mtu ajaribu kusafisha makosa yk naamini hata hao EU/USA watatuelewa kuwa tuna nia ya kuzilinda haki zetu sio wanadiplomasia wa kuleta propaganda za uongo kwamba hali n nzur huku raia...
JK akiwa waziri wa mambo ya nje kutamfanya raisi aheshimu sheria na kuacha matamko yasiyoeleweka?
Uwepo wa JK hautomfanya awe na nidhamu, atakuwa na kaz ya kusahihisha makosa yk? Kama anashindwa kuheshimu katiba inayowalinda raia wote hyo JK atafanya nn!! Mpaka hapo inaonyesha hamuheshimu JK...
Waha hawapo hvyo, akili zao n timamu na wanajielewa, lete kifungu cha katiba na ww ndo tuanze kumpuuza kama utakavyo.
Hyo unayemtetea kwa nguvu unapoteza muda wako, alishasema kuhusu alivyo ss unataka watu wamueleweje? Mtu mzima hana haja ya kuuliza apimwe au la matendo yk kwny jamii...
Huwa wanatekeleza kwa maneno, wakijitahidi kuleta ujue n used kuzima mara kwa mara inakuwa n kawaida.
Swali fikirishi, kwnn kivuko kijaze zaid ya uwezo wake?
Je n mara ya 1 kufanya hvyo au n kila cku?
Kamati za ulinzi na usalama zinafanya kaz gan, na hao wasimamiz wa vivuko na mamlaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.