Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 3,791
- 3,360
Baadhi ya mitaa niliyopitapita jana na leo mijadala ya watu ni ya mambo tuu yao ya maisha.
Ukizingatia, bajeti Kuu ya Taifa,imesomwa jana, tulitaraji mazungumzo mengi ya watu, yalenge huko.
Hata magazeti ya leo,sijaona hamasa ya ununuzi kama miaka iliyopita.
Ni nini kimeisibu jamii hii?
Hata TV zinaendelea na programmes nyingine za kawaida; tulizoea jana na leo TVs zingerusha matukio ya watu wakitoa maoni ya matarajio kwa bajeti hii.