Recent content by Steelomega

  1. S

    Wasomaji wa vitabu, nina kikao na nyie tafadhali

    Vitabu vya kiroho vya kiswahili kama vya Mwl Christoqher Mwakasege , Jesse Janothan na vitabu vya ujasiriamali vya kiswahili kwangu vinanisaidia kujua jinsi ya kwenda na mazingira yetu ya kitanzania na kiufrika kwani vitakusadia jinsi ya kwenda kiuhalusia katika ulimwengu wa dhahiri na...
  2. S

    Kwenye Elimu ya msingi kuwe na somo linalotoa elimu juu ya vitu ambavyo ndiyo msingi wa kimaisha uliopo

    Ndio maana tunasema uandakiwe mtaala kuanzia shule za msingi watoto wakue wakijua biashara zinavyofanywa umuhimu wake hasa kwenye uliqaji kodi , sasa hivi kuna ugomvi mkubwa sana kati ya serikali na wafanya biashara kuhusu uliqaji kodi jitihada zote za elimu kwa mliqa kodi somo gumu kutejekeza...
  3. S

    Kwenye Elimu ya msingi kuwe na somo linalotoa elimu juu ya vitu ambavyo ndiyo msingi wa kimaisha uliopo

    Warren Buffet ni mchuuzi kama alivyo Bakhressa ingawa kwa Warren mfumo wa USA una strong financial suqort hara Bill Gate mfumo ulimbeba huku kwetu na siasa yetu ya ujamaa na kujitegemea bado ndio kwanza tunamalizia ujenzi wa uchumi mkubwa macro economy ukiotufikusha uchumi wa kati waliko akina...
  4. S

    Kwenye Elimu ya msingi kuwe na somo linalotoa elimu juu ya vitu ambavyo ndiyo msingi wa kimaisha uliopo

    Tutofautishe a mentor , teacher/ facilitator na coaching , hawa ni watu tofauti naona wewe unamhiji mentor maana mentor wako lazima awe mtu aliyefanikiwa lakini katika kujifunza ujasiriamali au ili ufanikiwe katika ujasiriamali INFORMATION / taarifa , mtonyo nk ni kitu muhimu kuliko mafanikio ya...
  5. S

    Kwenye Elimu ya msingi kuwe na somo linalotoa elimu juu ya vitu ambavyo ndiyo msingi wa kimaisha uliopo

    Sio wote walio tusua wanaweza kuwa walimu wazuri wa ujasiriamali kuna ujasiriamali wa kufundishwa na kuna ujasiriamali mtu anjiongeza mwenyewe, Tz wale waliotusua wakianza kuwa walimu kwa wenzao wanaosua sua tutafika mbali sana
  6. S

    Kwenye Elimu ya msingi kuwe na somo linalotoa elimu juu ya vitu ambavyo ndiyo msingi wa kimaisha uliopo

    Mtoa mada anashauri elimu ya msingi iongezewe meno ya entrepreneurship skills tunachangia as msingi wa elimu yetu imegawanyika za English medium nyingi za private na mission na za serikali kiswahili zaidi , tunachoshauri msisitizi wa ufundishaji wa masomo ya ujasiriamali , walimu wao wawe wa...
  7. S

    Kwenye Elimu ya msingi kuwe na somo linalotoa elimu juu ya vitu ambavyo ndiyo msingi wa kimaisha uliopo

    Turudishe elimu ya kujitegemea kwa shule za msingi i.e kulima bustani / shamba , maqishi , kuchora , kuimba , maigizo , uvuvi , ufugaji , madini nk kwani sekta isiyo rasmi imebeba kada hizo kwa wingi wanachokosa ni mitala rasmi
  8. S

    Kwenye Elimu ya msingi kuwe na somo linalotoa elimu juu ya vitu ambavyo ndiyo msingi wa kimaisha uliopo

    Ni kweli kabisa Mkuu Hata waziri mwenye dhamana ya elimu qrof Joyce Ndalichako ameanza kukituqia chaquo . Tukubali tuna tatizo ka kihistoria tunaqozungumzia kufanya biashara Tanzania mbali ya kutafuta mtaala bora wa biashara kuanzia shule za awali mqaka vyuo vikuu Chama tawa kinatakiwa kuwe cha...
  9. S

    Ni nani kati yetu hajawahi kuwasababishia wengine "Uchungu", ni nani?

    Mawazo mabaya yanatoka kwa shetani na wapo watu wengi wanaishi vizuri sababu mawazo yao mabaya ndio kula yao . Mawazo mazuri yanatoka kwa Mungu na mambo mazuri yote hufanywa na watu wenye hofu ya Mungu , ndio maana ni wengi hukimbilia kuomba ulinzi na kuyakabidhi maisha yao kwa Mola kuepuka na...
  10. S

    Ni ipi maana halisi ya kumkomboa Mwanamke?

    Naona wewe agenda yako mtoto wa kike apatiwe mgao mkubwa wa urithi sababu wasichana / wanawake wanatumza wazee kuliko wanaume ndo shida ya kuongea na vitoto . Kama ni urithi , urithi hupatiwa watoto wazazi wakifariki sasa huko kutunza wazee kunatoka wapi au ilikuwa una maanisha mtoto wa kike...
  11. S

    Ni ipi maana halisi ya kumkomboa Mwanamke?

    Mimi nishakwambia nimeshaandaa mgao kwa wanangu wa kike na wa kiume wewe endelea kupambana na Mungu mnayesema ameandaa vitabu vinavyowakandamiza muonekane hamna thamani mbele ya mwanaume . Kama unakosoa neno la Mungu au mpango wa Mungu kwa kigezo mna akili nyingi inaonekana mnajiona mna akili...
  12. S

    Ni ipi maana halisi ya kumkomboa Mwanamke?

    Nakubaliana na wewe mtoto wa kike na kiume wana haki sawa mbele za Mungu , hakuna mzazi mwenye hekima anagawa mali kwa mla unga bangi wala mdangaji na changuduo awe wa kiume au wa kike .watoto wa kike wanaojielewa wamepatiwa utithi mwingi tu na wamaundeleza vizuri wapo labda ujifanye una leta...
  13. S

    Ni ipi maana halisi ya kumkomboa Mwanamke?

    Mwanamke haolewi sababu hawezi kuendesha maisha yake mwanamke anaolewa ili kutengeneza familia . Mwanaume akitumja pesa na mali kama kigezo cha upendo ngoja hizo pesa na mali ziyeyuke na mwanamke akitumia pesa mali au cheo kama kigezo cha kutaka kuheshimika hatapata upendo wa dhati atawapata...
  14. S

    Ni ipi maana halisi ya kumkomboa Mwanamke?

    usisahau wadhungu wana tamaduni , mila na desturi tofauti na za africa . Huku mwanamke anatolewa mahari wadhungu hawana cha mahari , huku vikao vinafanyika vya ukoo mchumba akubalike au akataliwe wadhungu hawana hiyo . Wadhungu wameshakuwa na ndoa za mikataba na wengine wameamua kutooa au...
Back
Top Bottom