Recent content by STDVII

  1. STDVII

    JamiiForums Tanzania Aloyce Nyanda atishiwa kisa Machapisho ya Instagram

    Itakua amejiandaa kujiteka ni muda mrefu hatujasikia mtu katekwa. Wiki haipiti Utasikia Nyanda katekwa☺️
  2. STDVII

    JamiiForums Tanzania Umri wa Humphrey Polepole

    Kwa hiyo nawe wataka kujiuzulu Kiongozi🤣
  3. STDVII

    JamiiForums Tanzania Zanzibar imepata wapi hela zote hizi ndani ya miaka 3? tangia Samia awe Rais wa Muungano skuli za ghorofa mpaka Kojani

    Ukitawaliwa na roho mbaya siku zako za kuishi zitakua chache sana.
  4. STDVII

    JamiiForums Tanzania Habari zimevuja, Israel ilikua na mpango wa kuishambulia Iran hivi karibuni

    Masih Yesu ni kwa ajiri ya watu weusi lakini mayahudi hawamtambui bado wanangoja Masih wao.
  5. STDVII

    JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wangu naona utekaji si drama

    Ila kwa kweli ni hatari inakuaje Betri zinaisha chaji?😅
  6. STDVII

    JamiiForums Tanzania Kamanda Muliro: Ndio maana sitaki kubishana, Jeshi la Polisi ndio lilimuokoa Sativa kule Katavi!

    Kwa hiyo Kamanda anawatuhumu Chadema?
  7. STDVII

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kushinda kesi tunazoshtakiwa katika Mahakama za Kimataifa?

    Karamagi naye alikua huko?
  8. STDVII

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye Picha ya Marais Biden au Putin au Kagame au Waziri Mkuu wa Uingereza wakijipiga 'Selfies' katika Shughuli za Kikazi aniwekee hapa

    Ina maana umesahau Obama na tena selfie na lile lifimbo kabisa selfie kwa mbali🤣
  9. STDVII

    JamiiForums Tanzania Kama CAF wameamua Mechi ya Ufunguzi na Fainali za AFCON 2027 zifanyike Kenya, kuna Faida gani Tanzania kuwa Muandaaji?

    Maandamano yameisha kajificha angle gani huyo au anapunguza stress
  10. STDVII

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Maskini Hakopi na Hakopesheki.Tunakopa Kwa sababu Tanzania ni Tajiri.

    Acha ujinga wewe yaani umeanza kuingilia kwenye timu yetu Bangladesh🤣🤣
  11. STDVII

    JamiiForums Tanzania Wagner Group watangaza nafasi ya kazi -🇷🇺

    Kama ml 75 Tsh karibu
  12. STDVII

    JamiiForums Tanzania BAVICHA na huyo askofu Mwanamapinduzi mna Uhakika Ujenzi wa Bwawa la Nyerere limetumia Upembuzi Yakinifu wa 1972? Ni kweli Maji yamefunguliwa?

    Arusha imekumbwa na mafuriko makubwa kuwahi kutoka ina maana ya maji toka JNHPP yamefika kule?
  13. STDVII

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anataka mtu wa namna gani kwenye nafasi ya Uenezi wa CCM?

    Humphrey Polepole hakuondolewa na Samia kwenye nafasi yake bali JPM mwenyewe na akampeleka Bungeni, rekebisha kumbukumbu zako vizuri.
  14. STDVII

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi kinara wa ujenzi ovyo na holela, aliharibu Dar na Miji yetu

    Ni ngumu sana Mwinyi kuchafuka, ametutoa kwenye Kuvaa magunia na nguo za kaunguza. Ilikua hatunywi chai sukari hakuna Chumvi inaitwa Dawa ya mboga Kapokea Nchi toka kuzimu muache Mzee apumzike kwa amani.
Back
Top Bottom