Recent content by std7

  1. std7

    JamiiForums Tanzania Jifunze kwa Ufupi Mashindano ya Pikipiki: MotoGP World Championship

    Hizi pikipiki za MotoGP Moja ni zaidi ya bilion 7 TSH
  2. std7

    JamiiForums Tanzania Kabila la Wameru ni watu wabinafsi na wakorofi sana

    Hapo kwa fundi siku hizi ndio wanachuo wa makumira na maendeleo ya jamii wameamia Zile sifa mbaya kwamba wameru ni watu wabaya hawazioni wanafurahia maisha.
  3. std7

    JamiiForums Tanzania Kabila la Wameru ni watu wabinafsi na wakorofi sana

    Nusha mbee Urasa, Eka nnu den.😀😂😂
  4. std7

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo 'Mwizi wa Uchaguzi’ na ‘Kipenzi' cha wanasiasa Barani Afrika, ameshatia mkono na kwetu?

    Ikulu pamekuwa mahali pa kupigia dili
  5. std7

    JamiiForums Tanzania Mwanamtandao Rostam Aziz kufanya mahojiano maalum leo Septemba 2, 2025 kupitia UTV

    Kweli Rost tamu imeingia mitini
  6. std7

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo: Watu wawili wafariki kwa mlipuko wa bomu, mmoja ajeruhiwa

    Aisee bomu limeuwa raia wema Ni hasara kubwa sana Yaani bomu linalipukia raia linamuacha Farao wa misiri anatamba.
  7. std7

    JamiiForums Tanzania REA yaendelea kutekeleza kwa vitendo mkakati wa nishati safi ya kupikia

    Ukisikia mradi kwa serikali ya ccm ni sawa sawa na upigaji, ufisadi Ata kwenye zile trekita ni mambo ya upigaji kwa Kwenda mbele.
  8. std7

    JamiiForums Tanzania Ezekiel Kamwaga: Cuba mtungi wa gesi unaanzia laki moja na nusu mpaka laki tatu

    Bei ya gesi inabadilika mara kwa mara ndugu yangu bwa rosti-tamu ya azizi
  9. std7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Xiaomi inatarajia kuzindua flagship tatu mwisho wa mwaka huu 2025

    Mkuu mimi binafsi nakushukuru kwa taarifa Mimi niko na itel yangu nikiweka mkeka tu inapata moto kama pasi.
  10. std7

    JamiiForums Tanzania Ezekiel Kamwaga: Cuba mtungi wa gesi unaanzia laki moja na nusu mpaka laki tatu

    Hapa chini ni makadirio ya gharama ya kujaza mtungi wa kg 20 wa gesi ya kupikia (LPG) kwa nchi tatu ulizotaja, kwa kutumia wastani wa bei ya gesi kwa lita/kilo na kubadilisha kwa thamani ya Tsh (makadirio kwa Agosti 2025): --- 1. Algeria Bei kwa kilo: takriban 0.066/lita Mtungi wa 20kg ≈...
  11. std7

    JamiiForums Tanzania Ezekiel Kamwaga: Cuba mtungi wa gesi unaanzia laki moja na nusu mpaka laki tatu

    Bei elekezi ya serikali ya Cuba ni 225 Pesos za Cuba (CUP) Hiyo 1.5 dola au 3,750 tsh.
  12. std7

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Geita wavunja rekodi,wagombea ubunge wawili ni wahitimu wa darasa la saba B

    Ni hatari sana kupeleka watu wenye elimu ndogo bungeni
Back
Top Bottom