Recent content by staz

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Actuarial Science na Geomatics

    Mtoa mada vipi, sahz uko kitengo gani??
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Actuarial Science na Geomatics

    Kaka...Geomatics ni ya ukweli sana...sana...sema tu huna data...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Actuarial Science na Geomatics

    Geomatics ina nafasi kubwa ya ajira...mfano taasisi zinazo wahitaji watu wa geomatics ni kama ifuatavyo....Tanesco,hospitali,bank,kila halmashauri inahitaji watu atleast wanne....TANAPA,TANROADS,....uzuri wa fani hii ina mambo ya GIS ambayo ni muhimu kwa kila ofisi kubwa....MIGODINI....almost...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Actuarial Science na Geomatics

    GEOMATICS ni the best kwa sasa tz...uliza uelekezwe....
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Actuarial Science na Geomatics

    Hata EGM anachukuliwa kama ana C ya physics o level
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Actuarial Science na Geomatics

    Geomatics inapatikana Ardhi morogoro....pia ardhi mbezi beach...kwa stashahada.. but ardhi moro iko vizuri zaidi practically....
Back
Top Bottom