Recent content by Staufenberg

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi uchovu sana kila nikinywa konyagi, shida nini?

    Acha konyagi.. Kunywa mtori wa moto.
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemla dada poa kumbe mfukoni sina hata mia, nimeondoka na pensi

    Wadau nipo Zanzibar, location ya machimbo tafadhali.
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu na baba yake wanatumiana picha za uchi!

    Toa huu upuuzi, kama haikuhusu umeitoa sehemu haitakuwa na maana kabisa. Kama ni wewe si useme tu. Kwan nani anakujua humu. (pole kwa kuchapiwa na baba mkwe)
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tujadiliane; nini faida za kulala upande wa kulia wa mwanamke?

    Ulale kulia au kushoto haina maana.
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu, kabla ya kuamua kuingia ndoani fanya kama mimi

    Kabla ya kuandika chochote hakikisha umesoma vizuri na umeelewa kilicho andikwa. Aliposema likizo ya mwaka maana yake ni mwezi mmoja (siku 28)katika mwaka. hakuwa na maana alikaa miezi 12 (mwaka mzima) bila kufanya kazi.
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada nataka kumbadilishia mazoea

    Mpiga nyeto aliye kubuhu huyo.
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni safari gani "very risky" umewahi fanya kwa ajili ya mpenzi wako na bado ikaishia na machozi?

    Huyo atakuwa ni halima ndala ndefu
  8. S

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza magodoro. Usafiri bure mpaka ulipo ndani Dar es Salaam

    Naomba bei ya Tanfoam Arusha 5*6 inch 10 density ya 28 na 32
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ex-wife kaolewa lakini ananifatilia sana

    HAMA hapo haraka sana.Narudia HAMA hapo haraka sana hakikisha hafahamu ulipohamia kisha zidisha ukimya utarudi kunishukuru
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafanyaje ukifanya maandalizi kibao halafu mpenzi asitokee kwenye miadi?

    Emergency
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama mkwe huyu anaweza kuharibu ndoa ya Mwanawe wa kike. Suluhisho ni nini?

    Hiyo kali..
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa kipimo hiki naghairi ndoa, sioi tena

    Weka kilakitu hadharani ajue ukweli kuwa alikuwa anachat na wewe na sio ex wake muoneshe hizo chat akimuahidi ex wake kuwa awataachana kisha vunja uchumba. Hayo ndio maamuzi ya kiume.
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

    Hongera sana. Ndani ya miaka11 bado anajali kias hicho. natamani nimpate kama huyo.
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeelewa kwanini unatakiwa kumheshimu mkeo sana

    Nani aliyekuwa anamuhesabia?
Back
Top Bottom