Recent content by STATE AFFAIRS

  1. STATE AFFAIRS

    Team kali inahitajika kwa Kampuni ya Media

    Sijawahi kuona IT EXPECT akihitajika sehemu yoyote ile duniani. IT experts wataajiriwa na kukuacha wewe IT EXPECT.
  2. STATE AFFAIRS

    Shaka: Rais Samia ni mbobezi katika masuala ya uongozi

    Duh! Na mimi nimejiuliza hivyohivyo[emoji1]
  3. STATE AFFAIRS

    #COVID19 NIMR: Chanjo zitakazotolewa Nchini ziko salama kwa asilimia 99.9

    Inafikirisha kiasi. Hatahivyo, wasiwasi wangu ni kuona tabaka la watu wa “sampuli” hii, wanaojiita wataalamu, wakishadadia na kufafanua “kitaalamu” ufanisi wa aina anuai za chanjo za COVID-19. Kama kweli wana ubobezi wa kitabibu, kwanini hawakuthubutu hata “kuungaunga” wapate mfano wa chanjo ya...
  4. STATE AFFAIRS

    Kariakoo, Dar: Moto Moto waunguza sehemu ya hoteli ya Rungwe Palace

    Imeripotiwa, ajali nyingine ya moto imeteketeza hoteli huko Kariakoo. Hadi muda huu moto unaendelea na jitihada za kuudhibiti pia zinaendelea. ========= Moto Umeibuka katika Hotel ya Rungwe Palace iliyopo Mtaa wa Livingston na Mahiwa Jirani na Msikiti wa mtoro Jijini dsm na kuzua Taharuki...
Back
Top Bottom