Recent content by Starton

  1. S

    Arumeru: CCM mmekosa wagombea Arumeru?

    Domo refu kama chupa kazi umbea tu !
  2. S

    Polisi Bagamoyo watupie macho Kijiji cha Zinga kwa Mtoro

    Kumezuka tabia ya majambazi kutoka Bunju -Dar es salaam na sehemu nyingine kujikusanya katika kijiji cha Zinga kwa Mtoro Bagamoyo kama shemu ya kupanga mipango yao. Sasa hivi wamebuni mbinu mpya ya kukodi fremu na kufungua biashara kama kama kuuza milango au 'formwok' za ujenzi. Basi fremu...
  3. S

    Wakati mwingine kunyamaza ni ujinga, hatutakaa kimya. Chadema ni maarufu na ina nguvu kubwa sana kuliko Lowassa na kundi lake

    Hata mtoto mdogo asiyekuwa na akili ukinwambia chadema ina nguvu kwa sasa atakucheka tu.
  4. S

    Tarime : John Heche amwaga mabati kama mchanga , wananchi wapigwa na butwaa !

    Alishaona taa nyekundu inawaka lazima misaada iongezeke.
  5. S

    Kuachiwa kwa Mbowe na Lijualikali ni mkakati

    Hawa siyo kwamba ni akili ndigo ni kwamba hawana kabisa
  6. S

    Kuachiwa kwa Mbowe na Lijualikali ni mkakati

    Uzi wa kijinga ,wakipuuzi na wa kipumbavu kuwahi kuuona toka wiki imeanza.Tanzania haiendeshwi na mihemuko ya upinzani.Mnajifariji,Mbowe yupo hoi na hana hamu.Hebu ajaribu kufurukuta aone cha mtema kuni.Mvimbisheni kichwa wakati nyie mmelala nyumbani na wake zenu.Ila nadhani yeye mwenyewe akili...
  7. S

    SUMATRA Ilala kuna huduma mbovu na za ovyo

    SUMATRA pale ilala (Mwalimu house) kuna shida ya huduma. Tunaomba wahusika wapatupie jicho kwani malalamiko yamekuwa mengi.Huduma inatolewa kwa kusuasua kama wamelazimishwa na ndiyo maana muda wote wanaohudumiwa wamelundikana kiasi cha kutisha. Tuna imani kuna uongozi unasimamia kitengo hiki...
  8. S

    Ole Sosopi hana adabu

    Tena hana adabu kabisa na heshima mbovu hii inaonekana ni ya kurithi.Kitoto kidogo kinadiriki kusema eti jeshi zima la polisi lijitathmini.kauli za kishenzi hizi sio za kuachia hivihivi.Kwanba lijitathmini kuanzia kwa amiri jeshi wake? Kauli hizi za kifedhuli ,maringo na kutaka sifa nina...
  9. S

    Utofauti wa Mwigulu Nchemba na Nape Nnauye katika mambo mbalimbali

    Mwingulu atarudi katika uongozi wa juu.Ni mkomavu na ana Subra.Nape kujifanya ana hisa ndani ya CCM ni kosa na litamgharimu.Ana hasira ya kukosa na kuvimba kichwa akisifiwa na wapinzani hasa chadema + Zitto ambao maombi yao usiku na mchana ni kuona nchi inaporomoka kiuchumi na tunaingia kwenye...
  10. S

    Paul Makonda, Mrisho Gambo waisindikiza Ndege Zimbabwe mpaka Zambia

    Sasa hapa CHADEMA+ Zitto roho zao zinawauma ile mbaya kwa sababu walishakejeli mara ya kwanza waliposikia kwamba kutakuwa na hizi safari za nje.Tushukuru Mungu imekuwa.Jamani wakoje hawa ? .Hawa ni binaadamu wenzetu au ni viumbe tofauti ?
  11. S

    Taharuki NSSF

    Leo imezuka taharuki NSSF makao makuu pale wazee wastaafu walipokusanyika kudai pension yao ya mwezi January ambapo fedha yao kwa utaratibu mpya zinaenda kwenye benki zao walipofungua akaunti zao.Akaunti zilifunguliwa wakati wa uhakiki hivi karibuni. Wazee wale kila mmoja alikuwa akiongea lake...
  12. S

    Tukio la Bobi Wine: Tanzania tuko kimya, Kenya kesho wanaandamana

    Maswala ya akina Roma Uganda waliandamana ? Kaandamane mwenyewe.
  13. S

    Kumbe wanachopewa wazee NSSF ni msaada tu

    Huwezi kuamini hasa pale anapomjibu majibu yaliyopinda mtu ambaye ni makamo ya babu yake kule kijijini.Anajisikia na anajiona yupo 'on top of everything'.Hakika nssf ni kaa la moto kwa wastaafu.Wazee wale ni 'helpless' hata wanapojibiwa majibu ya ovyo hubaki kimya na kubaki kumshuru Mungu tu.
Back
Top Bottom