Recent content by Starrr

  1. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tiba Asili na Mbadala Ijumuishwe katika Mfumo wa Afya Kikamilifu, Ili kuboresha Afya ya Watanzania

    Tatizo tunapambana ktk nchi ambayo si sahihi. Hakuna sapoti yyte
  2. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu ya Kidato cha Tano na Sita ibadilishwe kuwa Elimu ya Vyuo vya kutoa ujuzi

    Elimu ya kidato cha sita ni useless au kupoteza muda kwa kizazi hiki, hivyo uko sahihi inabidi iboreshwe na kuwa vyuo vya kati
  3. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu ya Kidato cha Tano na Sita iondolewe

    Kikubwa aliyemaliza Advance tuseme maybe PCB na aliyemaliza Course ya Afya ata kama ni Certificate, hawezi kufanananishwa na huyo wa A-level kwasababu huyo aliyemaliza chuo tayari ana proffession.
  4. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya sasa haimkomboi kijana wa Kitanzania

    We jamaa umewaza mbali kweli,,,,maana kuna shule nyingi zinakosa vifaaa kama madawati hivyo wanafunzi wakipewa ujuzi wataweza kutengeneza madawati wenyewe na tatizo la uhaba wa madawati litaisha kama utani hivi tena kwa gharama nafuu.
Back
Top Bottom