Recent content by Starlord

  1. S

    Marekani imesema inaitambua rasmi Kenya kama Mshirika wake wa karibu Kiusalama ambae sio mwanachama wa NATO

    🤣🤣🤣🤣 Tunamuogopa Abiy na oromo front pia Somalia. Ukweli kwamba kenya hupokea kiwango kidogo sana cha FDI. Ethiopia ndio top priority in subsaharan Africa na South Africa. Saa hii Ethiopia na Marekani hazisikizani lakini majadiliano yaendelea. Ethiopia has the heart and soul of the US na huu...
  2. S

    Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

    Ile kitu hunishangaza kama mkenya, ni mbinu gani Tz mmetumia kuzuia ugaidi. Mombasa imejaa salafi wengi mno. Uzuri ni kwamba Prince MBZ alikataa uwekezaji kwa misikiti ya Wahhabi. Siku hizi hawana pesa ya ugaidi. Vijana wengi sana huwaunga mkono Al shabaab kwanza pale lamu na likoni. Sijawahi...
  3. S

    Kwanini Kenya ni maarufu kuliko nchi nyingi za Afrika

    We supported apartheid south Africa and agreed to the safariclub arrangement. We support apartheid Israel and involve ourselves in in Ukraine russia business instead of being non aligned. Kenya is a neocolonial state firmly in the hands of global capitalists There is a lot the country does to...
  4. S

    DP World ni genge la watu wanaojifanya wawekezaji ndani ya nchi yetu

    Nawaonya watanzania kijichunga na UAE, QATAR, SAUDI. There is no good that can come from Arab fascist states. Kila siku tunasikia kwamba mkenya kauliwa kule gulf, ni kama kuna sport ya tossing kenyans off buildings. UAE wanadai kununua port zote Africa. Kuke sudan wana mercenaries elfu mia...
  5. S

    Kwanini Kenya ni maarufu kuliko nchi nyingi za Afrika

    Kenya imedidimia kwa sekta ya utalii tangu 2013. Tanzania na Uganda zimetupita in terms of earnings. Mombasa kuna resort mingi za wageni ambazo tour packages hulipiwa toka nje. Hii haina faida kwa kenya. Mombasa gets less than 100k western tourists per year, zanzibar ni over 500k Toka Uhuru...
  6. S

    Sheikh asema kubinafsisha bandari ni haramu na haifai kabisa

    Hongera waTZ, hapa Kenya pia tutapigana na DP world kabisa.
  7. S

    Suala la DP WORLD na chuki za Watanganyia dhidi ya Wazanzibar

    Hapa Kenya pia twauza port kwa DP world. Pale Somalia berbera pia walinunua. Wamenyangaya Yemen socotra island. Wale wanafahamu geopolitics wanaelewa yanayojiri. Hii yote inahusikana na kumiliki red Sea. Hii imeleta mzozo na USA. Hii ndio chanzo cha vita vya Yemen na Sudan . Mkumbuke UAE na...
  8. S

    Wangapi wanaamini Mobutu alikuwa Rais mbaya?

    Mobutu aliabudiwa kama Mungu. The saviour and creator. Pia yeye ndiye aliruhusu wanajeshi waende kupora eastern congo.
  9. S

    Rostam Aziz amezuiwa kuuza gesi yake Kenya kwa sababu ya mazingira

    Uhuru kenyatta na wezi wenzake do not represent all Kenyans. Hizi michezo ni ya the political elite, wakoloni weusi. Familia ya kenyatta imetudhulumu kabisa
  10. S

    Kenya yathibitisha rasmi kuiogopa Tanzania katika biashara. Yakataa kuidhinisha ujenzi wa kiwanda cha gesi cha Rostam

    Kenya imekuwa ya political cartels na hatuwezi kujitoa hapo. Wameharibu uchumi wetu. Sisi twaelekea kuwa kama Sri Lanka.
  11. S

    Kwa kiasi gani filamu ya Royal Tour inatuhakikishia utalii katika siku zijazo?

    Kenya tulipata filamu kama born free and out of Africa. Hata vitabu kama man eaters of tsavo zilichangia pakubwa utalii. Siku hizi utalii umefifia hasa pwani kwa ajili ya Al shabaab. Watalii wengi wanasafiri toka Airport zetu kwenda zanzibar,serengeti na ngorogoro crater. Pale Kenya tuko mbele...
  12. S

    Jamii imegoma kabisa kuhusu Magufuli? Nini kifanyike?

    Uchumi wa Tanzania ulikuwa karibu kupita wa Kenya kabla magufuli. Sera za populism ni hatari mno. Raisi anayeongoza kutumia propaganda hawezi kuza nchi. Kufukuza waekezaji na kudidimisha Biashara na nchi ya Kenya ni kukosa kuelewa economics 101.
  13. S

    Nimeangalia filamu ya Royal Tour. I was not impressed. Itawakera sana baadhi yenu

    Tanzania inauzwa kama vile Kenya iliuzwa kwa wakoloni na beberu mweusi raisi wetu. Hii mambo ya conservancies ni ukoloni mamboleo. Subsaharan Africa kauzwa kwa kusingizia sustainable development, green economy, carbon credits na kadhalika.
  14. S

    African Satellite World and Sat Gear

    There are three 65cm dishes nearby pointing at ses 5 (zuku) I have used satellite pointing app for Android and there is no obstruction. I don't think its possible to miss SES 5 with a satellitefinder... It's the strongest satellite out there.I will try tomorrow to check the cables and reset the...
Back
Top Bottom