Dr atuambie angependa vipengele gani vya katiba vibadilike kabla ya uchaguzi mkuu ujao?
Je CHADEMA mmejiandaaje kuongeza idadi ya wabunge kwenye uchaguzi ujao ili kupata bunge lenye changamoto zaidi?
Nadhani wakati wa kumbana Ray C na wengne ili kupata manyangumi ya dawa za kulevya kwa kutumia backward chain tutawapata wote mana kila mmoja atasema yy alipata wapi dawa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.