Recent content by stardust JK

  1. stardust JK

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu tengeneza 1.70 yenye possibility 99.9% kutoa niweke kibunda
  2. stardust JK

    Namna ya kuzuia ujumbe wa kampuni za simu

    Kuna hawa mbwa wa tigo 15305 sms za bahati nasibu Nawachukia sana manina zao
  3. stardust JK

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    EFootball sportybet.. Nikasema ngoja nijaribu bahati yangu. Aloo nimechezea kofi moja la uso sijaamini😄
  4. stardust JK

    Unakumbuka chata gani ukiwa sekondari!? Nakumbuka hizi!

    OTM One twenty members Mbezi high 2007
  5. stardust JK

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Esperance leo anaweza kupata goli mbele ya mamelodi? Vipi Al hilal kupata goli mbele ya al ahly
  6. stardust JK

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Atadefence tu leo Kazi alishaimaliza cairo alishinda goli nne
  7. stardust JK

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Follow the Fixed 💯 channel on WhatsApp: Fixed 💯 | WhatsApp Channel
  8. stardust JK

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mechi nimeshatuma hapo juu👆 Timu ni> Kaamri 1987 VS Jeokuyla Correct score> 2:1 Ipo Flashbet.vip Odds 33🔥 ⏰19:00 Stake and relax *Kuna watu wanaingiza mamilioni kila siku unaweza enda kwenye page ya Facebook ukajionea reactions na maoni yao kuhusu huu mchongo Changamoto nicheki...
  9. stardust JK

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ingekuwa kweli basi hao flashwin wangefilisika ndani ya week tu Maana correct score zotee zinatoa win tena ni kila siku Yani wakamalia wote wangehamia huko kuvuna 'pesa za kiulaini'
  10. stardust JK

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sasa game ya leo ni hii hapo kwenye ki ligi gani sijui cga italy huko.. Inachezwa baadae saa 3 Ajabu tutakuta nayo imetoa sawasawa 🤣🤣 Sasa huyu mbongo anaepromote sijui anapata faida gani Maana najua ni kama scams hao
  11. stardust JK

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    😆😆😆😆Jamaa wanatoa correct score za kazakhstan sijui armenia ndani ndani huko halafu zinatoa sahihi kabisa Ajabu hizo games ukizitafuta makampuni mengine huzikutii, zipo kwenye hiyo kampuni ya flashbet tu😆😆😆
  12. stardust JK

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bila shaka ni wapigaji hawa
Back
Top Bottom