Recent content by Starbay Electrical works

  1. Starbay Electrical works

    Industrial and domestic electrical instillation services

    Tunaendelea kupokea oda zenu,pia tunaunda power factor kwa ajili ya kupunguza matumizi ya umeme viwandani na watumiaji wakubwa kama hotel,shule hosp etc
  2. Starbay Electrical works

    Nimewekwa kwenye blacklist NMB

    Dawa ya deni ni kulipa tu,hakuna cha blacklist wala nini,LIPA hawatakua na shida na wewe
  3. Starbay Electrical works

    Nahitaji printer ambayo itafaa kwa graphics

    Kwa sehemu kama hiyo ya ushindani huo ni ngumu kutoboa kwa kutumia viprinter vidogo,labda ujikite kwenye kusafisha picha na passport size uchukue mashine kama l3150 ,copy na print haiwezi kukulipa
  4. Starbay Electrical works

    Industrial and domestic electrical instillation services

    Kwa wiring bora za umeme majumbani na viwandani wasiliana nasi,tumeithinishwa na Tanesco na Ewura kwa kazi za umeme,pia tumesajiliwa na bodi ya wakandarasi CRB 0714 779 110
  5. Starbay Electrical works

    Uwekaji wa umeme viwandani na majumbani (registered contractor class 6)

    Kwa wiring bora za umeme majumbani na viwandani wasiliana nasi,tumeithinishwa na Tanesco na Ewura kwa kazi za umeme,pia tumesajiliwa na bodi ya wakandarasi CRB 0714 779 110
  6. Starbay Electrical works

    Wateja Mjifunze kuheshimu wafanyabiashara, Wanajitoa kuliko Mnavyofikiria

    wateja wako complicated sana,lazima uwe mvumilivu vinginevyo baki na bidhaa zako ndani,kumbuka mteja ana uwanja mpana wa kuchagua anunue wapi ila wewe muuzaji unatamani na kuombea mtu yoyote aje anunue,hivyo yeye hana shida,pesa ndio kila kitu katika ulimwengu wa biashara
  7. Starbay Electrical works

    Uwekaji wa umeme viwandani na majumbani (registered contractor class 6)

    Tunaendelea kuwahudumia wateja wetu,kwa kazi za matengenezo ya AC,generators,mashine za viwandani,uwekaji wa wiring majumbani na viwandani karibu tukuhudumie, 0714779110 Instagram starbay_electrical
  8. Starbay Electrical works

    Uwekaji wa umeme viwandani na majumbani (registered contractor class 6)

    Tumefungua ofisi ndogo Chanika karibu na ofisi mpya ya Tanesco wilaya ya Chanika ambapo vifaa vya wiring vinapatikana,pia tunafanya kazi za wiring majumbani na viwandani,tunachora michoro ya umeme na kujaza forms za maombi ya umeme,karibuni 0714779110 Instagram starbay_electrical
  9. Starbay Electrical works

    Uwekaji wa umeme viwandani na majumbani (registered contractor class 6)

    Ndio,na tumeidhinishwa na Tanesco na bodi ya wakandarasi kwa kazi za ukandarasi wa umeme
  10. Starbay Electrical works

    Uwekaji wa umeme viwandani na majumbani (registered contractor class 6)

    Tunaendelea kuwahudumia wateja wetu kwa uaminifu,kwa kazi za umeme wa majumbani na viwandani karibu tukuhudumie
  11. Starbay Electrical works

    Industrial and domestic electrical instillation services

    Karibuni wateja wetu,instagram tunapatikana kwa starbay_electrical Utaweza kuona kazi zetu mbalimbali
  12. Starbay Electrical works

    Uwekaji wa umeme viwandani na majumbani (registered contractor class 6)

    Kazi za wiring majumbani,hakuna kazi ndogo kwetu,zote zinafanyika kwa ubora wa hali ya juu na uaminifu
  13. Starbay Electrical works

    Uwekaji wa umeme viwandani na majumbani (registered contractor class 6)

    Karibuni wateja wetu Instagram tunapatikana kwa starbay_electrical na Facebook kwa jina hilo hilo
  14. Starbay Electrical works

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kiukweli Kuna shida Sana Tanesco Mikocheni Dar,haiwezekani mteja amelipia mita ya 3 phase tangu 11/11/2020 mpaka leo wanasema mita hizo hazijafika,ivi kama hapa mjini ni shida hivi itakuaje kwa watu huko vijijini wenye viwanda vidogo vidogo?
Back
Top Bottom