Uko sahihi ndugu yangu wacha tuwahamasishe walioko mkoani njombe kutunza mazingira najua wanatunza maana mwamko wa kupanda miti kule bado ni mkubwa sana
Watu wamekaa kiitikadi mpaka wanasahau kama ni Watanzania jamani tufike mahali tueleze kuna tofauti kubwa kati ya chama na nchi kwa iyo kabla ya kufikri masilahi ya chama tazama nchi yako kwanza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.