Recent content by stanluva

  1. stanluva

    Uzi Maalum wa Uhamisho wa watumishi kubadilishana kituo cha kazi

    Mwalimu siku hizi ukitaka kubalidishana kituo na mtu mwingine, ingia kwenye mfumo rasmi wa watumishi kwa link: www.ess.utumishi.go.tz Fanya usajili kisha soma mwongozo wa kubadilishana vituo.
  2. stanluva

    Kuwashwa mikono na kuchezwa na macho (kulia au kushoto)

    Stress. Pata muda mrefu wa kupumzika.
  3. stanluva

    Mamlaka husika fanyieni utafiti haya malori aina ya FUSO

    Ooii! Naomba niachie kilinge mzee mwenzangu. Naona watu wenye shida na huduma wanaongezeka kwa kasi.
  4. stanluva

    Force account ni mfumo wa upigaji, nafananisha na upigaji wa mabilioni ya JK

    Ningekushauri jaribu kupitia vizuri jinsi mfumo huu unavyofanya kazi na kuleta matokeo tarajiwa ukilinganisha mfumo mwingine.
  5. stanluva

    #COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

    Kama anazo fact aweke wazi kwa nini chanjo siyo salama. Otherwise itabaki maelezo yasiyokuwa na msingi wowote ule na ni taarifa potofu kwa jamii. Mzigo umeshafika na imetolewa taarifa kuwa chanjo itakuwa hiyari, anayetaka aende akapige chanjo asiyetaka akae nyumbani. Sasa hivi ng'eng'eee...
  6. stanluva

    Ombi: Vyuo vya Ualimu Kilimo vya Serikali kwa Diploma 2021

    Tembelea tovuti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kubonyeza link hii ambayo itakupelekea moja kwa moja kwenye kusoma maelekezo ya sifa za kujiunga na mafunzo ya stashahada ya ualimu kwa masomo uliyotaja hapo juu. Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Ingawa kwa tahsusi aliyosoma...
  7. stanluva

    Mafunzo ya Ualimu ngazi ya stashahada ya ualimu elimu ya awali, msingi na sekondari mwaka wa masomo 2020/2021

    Mfumo wa uombaji wa nafasi za mafunzo ya ualimu katika ngazi ya stashahada umefunguliwa. Kama una ndugu au jamaa mtaarifu ikiwa anavigezo vilivyoanishwa anaweza kutuma maombi. Ili kuweza kuona kozi na sifa zinazohitajika tafadhali soma maelekezo kwa kubonyeza hapa. === Katibu Mkuu Wizara ya...
  8. stanluva

    MSAADA KWA WALIMU WOTE

    Actually umeshafanya searching ya kuhusu maombi ya ualimu na majibu yapo mwishoni. Kitu cha kufanya kwa sasa ni kuvuta subira hata watakapo tangaza kutuma maombi kwa kozi uitakayo. Kwa kozi ya ualimu ngazi ya cheti unatakiwa kuwa na div 1 hadi 3. Hata ukiwa na sifa pia inategemea na ushindani na...
  9. stanluva

    Msaada jinsi ya kulipia NACTE

    Malipo kwa njia ya M-PESA 1. Piga *150*00# 2. Chagua 4. LIPA kwa M-Pesa 3. Chagua 4. Weka namba ya kampuni 4. Tafadhali weka namba ya kampuni No. (607070 5. Weka namba ya kumbukumbu ya malipo No. (1234) 6. Weka kiasi (e.g.20,000/=) 7. Weka namba ya siri. 8. Bonyeza 1 kuthibitisha:
  10. stanluva

    Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Tena Tapeli kabisa...
  11. stanluva

    Bashe: TCU na wizara ya elimu inachokifanya ni zaidi ya madawa ya kulevya

    Watanzania wenzangu tutoke huko kwenye kumjadili mtu, tujadili issue na kuitafutia majibu mujarabu. Hata mawaziri waliopita walikuwa na mapungufu yao...! Hata mimi na wewe tuna mapungufu yetu. Labda tuulizane kwamba akiondoka Pro. Ndalichako kwenye wizara hiyo, ndiyo mambo yatabadilika...
  12. stanluva

    Bashe: TCU na wizara ya elimu inachokifanya ni zaidi ya madawa ya kulevya

    Badala ya kumlaumu mtu (Prof: Ndalichako), tutathmini mfumo uliopo wa utendaji kazi na ufanyaji maamuzi katika taasisi husika. Mtu ( Prof: Ndalichako) anafanya kazi kulingana taratibu (sheria na miongozo) iliyopo kwenye taasis zetu. Kwa maoni yangu mapungufu yaliyopo kwenye taasis ni ya kimfumo...
  13. stanluva

    Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    T Result slip siyo cheti. Tafuta result slip yoyote imeandikwa kuwa siyo cheti, hii ni kwa matokeo yanayotolewa na necta.
  14. stanluva

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Vyeti vimetoka wapi? Wakati mwenye division zero hapati cheti? Au aseme ana matokeo ya huyo anayemtaja...! Trying to think...!
  15. stanluva

    Waziri mkuu Majaliwa tuokoe walimu Bunda

    Pole sana...ila huu ni upande mmoja wa habari. Waandishi wa habari mtusaidie na upande wa pili ili kuweza kutoa ushauri bila upendeleo... Afisa elimu anatumia taratibu na kanuni katika kutoa uhamisho wa watumishi wa wikaya yake.
Back
Top Bottom