Recent content by standtruth

  1. S

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa Matumizi ya helikopta za CHADEMA na elimu ya helikopta - gharama halisi

    Nyiye vijana wa Lumumba mbona mnaaibisha hivyo Go here. How much do helicopter cost to buy and run? - General Helicopter Forum - Vertical Reference Helicopter Forums I
  2. S

    JamiiForums Tanzania RATIBA ya M4C - Operesheni Pamoja Daima: Kigoma, Rukwa, Mbeya, Manyara na Arusha

    Akifika Hapa Vwawa nataka nimnong`oneze kuhusu taabu ya wakulima wa kahawa! hakuna pembejeo ya hakika, nyingi ni feki hakuna hatua inachukuliwa, fidia ya wakulima wadogo kwenye stimulant package. Sijui mkutano atakuwa wapi na mimi niwahi nafasi
  3. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Mkutano wa CHADEMA kanda ya Magharibi

    Gam CDM ka ilaa wasl
  4. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Baraza jipya limechoka kabla halijaanza kazi

    Mwigulu ni janga la taifa
  5. S

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Waraka wa Manyerere Jackton na Pasco wa JF, kuhusu yanayoendelea CHADEMA

    huyu jamaa huwa namkubali sana, yaani amewajibu kwa ufasaha with facts, kama hawataelewa basi hapa siyo mahala pao, na hata nitashangaa kusikia wako mitaani kama watu wa kawaida, wasipoelewa tu, tuwapeleke kwa wenzao kule Dodoma.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Dk, Hamisi Kigwangalla abebwa juu kwa juu kwa kuzuia mabilioni ya mgodi Nzega (TZS 2.452 bn)

    Nina pata wasiwasi kwa HK kukataa hizo hela kwenda kwenye kata, alafu zikanunue vifaa vya maendeleo, ninamfahamu vizuri HK hapo atakuwa ameshategesha mrija wake kwenye manunuzi. Believe or not, si alishachezaga dili Fulani kwenye manunuzi ya vifaa vya hospitali, ule utamu sasa ndo unamsumbua...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Eti wanaume wa kabila gani wamejaaliwa neema za mwenyezi mungu?

    Saizi haisaidii kitu, cha muhimu ni matumizi yake. Ila kama tobo lako limtanuka sana hapo ndo issue
  8. S

    JamiiForums Tanzania Dk. Kitila Mkumbo, Kwanini watu makini wasianzishe chama chao?

    Namwambia DR.KITILA MKUMBO, Chadema ndiyo chama pekee makini, ndyiyo maana watu makini kama yeye waiitafuta kwa umakini, na wakajiunga huko kwa umakini ila walikosa umakini kutekeleza madudu yao, na chama kikawa makini zaidi yao, na sasa kimefanya maamuzi sahihi kwa umakini mkubwa.Viva CDM...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Naweka dau kubwa kwa yeyote anayesema lowasa atafukuzwa/atahojiwa/atazuiliwa kugombea urais

    Naona maana ya KIONGOZI inakupia chenga, jaribu kufanya reference utagundua nafasi ya kiongoz katika kuwezesha maendeleo kupitia mabadiliko ya kifikra, sera, utawala bora n.k
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naweka dau kubwa kwa yeyote anayesema lowasa atafukuzwa/atahojiwa/atazuiliwa kugombea urais

    Hakuna mwenye ubavu, siyo hilo tu pia hakuna mwenye sababu ya kufanya hivyo! Mangula hawezi kwa sababu mpaka sasa anasema atakayethibitika, kwa hiyo na yeye hana sababu ya kumhoji/kumfukuza/kumzuia. Nape Alishasalimu amri baada ya kukosa ushaidi wa ufisadi dhidhi ya EL
  11. S

    JamiiForums Tanzania Naweka dau kubwa kwa yeyote anayesema lowasa atafukuzwa/atahojiwa/atazuiliwa kugombea urais

    Wanajamvi, mimi niko tayari kuweka dau lolote kwa mtu yeyote anayesema kuwa CCM itamfukuza/itamhoji au itamzuia kugombea urais kupitia CCM. Nasema hivi kwa sababu, nimejaribu upima ujasiri na mikakati yake,nikagundua kuwa EL tayari ameshafanya feasibility study, akafanya na SWOT analysis...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tume ya Katiba Iondoke Sasa Isiongezewe Muda ni Kupoteza Kodi za Wananchi Bure!!

    Le Mutuz, una shida sana, bahati mbaya hujui unasumbuliwa na ugonjwa gani. Hakika kicheko chako cha hahahahaha kinanisikitisha tena kwenye mambo ya msingi na ya maana. Kule kwetu wangkuambia wewe ni mwanamke. Au unacheka kcheka kama mwanamke
  13. S

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba amjibu Bulembo (CCM)

    Wajuzi wa mambo naomba tusaidiane, hii Le Mutuz, haijui hata kilichopelekwa bungeni kuwa ni muswada wa sharia ya mabadiliko ya katiba. Sasa kusema hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswada, nafikiri ni kutojitambua kuwa huelewi haya mambo zaidi ya upotoshaji. Kaa kimya siyo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mh.Peter Msigwa atakuwepo kesho Tabata Dar.

    Nakutafuta sana, nitakupata. Nachukia sana kwa mods kuwaban watu wanaowapa vidonge vyao watu wa ovyo kama wewe.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Live on ITV - UZALENDO: Dr Slaa vs Mangula

    Acheni uvivu wa kufikiri, mnashindwa nini kubadilisha chanel?
Back
Top Bottom