Recent content by Stand alone

  1. Stand alone

    THE ACCIDENTAL BILLIONAIRES- The founding of facebook: a tale of money,genius and betrayal

    Aliendelea kuwasiliana na Mark na kujihusisha na facebook na pia bado aliendelea kuwa na share zake japo zimeshuka na kuwa 4%
  2. Stand alone

    THE ACCIDENTAL BILLIONAIRES- The founding of facebook: a tale of money,genius and betrayal

    Pamoja sana BLOOD DIAMOND. Story yetu ndo iko kwa hewa tayari
  3. Stand alone

    THE ACCIDENTAL BILLIONAIRES- The founding of facebook: a tale of money,genius and betrayal

    Story yetu ndo imefikia mwisho hapo Shukrani kwa kuisupport, kwa aliesoma na kuandika comment ya maana, tupo pamoja, wote japo sijaweza mtag mtu kutokana na nilivyokuwa nikiandika lakini naimani story itaweza kuonekana Nilipoisoma story hii niliipenda hivyo nikatamani kushare na wana JF nikijua...
  4. Stand alone

    THE ACCIDENTAL BILLIONAIRES- The founding of facebook: a tale of money,genius and betrayal

    Sehemu ya 5 Kitendo cha Eduardo kufunga akaunti ya bank kilikuwa ni kama kitendo cha kuwakaata koo Mark na Dustin, kilikuwa ni kama kitendo cha kuiondolea uhai kampuni kitendo ambacho kingeharibu kazi yote aliyofanya Mark kwani bila pesa kampuni isingefanya chochote kile, kama server zingezima...
  5. Stand alone

    THE ACCIDENTAL BILLIONAIRES- The founding of facebook: a tale of money,genius and betrayal

    Kila movie lazima antagonist aplay part yake I'm not trying to make you understand, ila:- Moja: I'm not a man Mbili: Hujalazimishwa kusoma Tatu: Hata ningetoa link direct bila kusimulia, na imani kati ya watu kumi mmoja pekee ndo angeweza kusoma Nne: Link imo humu ndani wenzio wameshaitoa...
  6. Stand alone

    THE ACCIDENTAL BILLIONAIRES- The founding of facebook: a tale of money,genius and betrayal

    Filamu ipo lakini sijatoa kwenye filamu sababu filamu imeelezea vitu vichache sana
  7. Stand alone

    THE ACCIDENTAL BILLIONAIRES- The founding of facebook: a tale of money,genius and betrayal

    Sehemu ya nne tayari. sehemu ya tano ntaileta jumatano
  8. Stand alone

    THE ACCIDENTAL BILLIONAIRES- The founding of facebook: a tale of money,genius and betrayal

    ____NO_____4. Eduardo alikuwa ameketi ndani ya ndege akisubiri ndege ianze safari ya kuelekea California-jijini San Fransisco Hakuweza kujutia kitendo chake cha kuweza kuacha internship siku ya kwanza tu ilikusudi kuendelea na kaz yake ya kutafta wawekezaji na watu wa kutangaza kwenye web site...
  9. Stand alone

    THE ACCIDENTAL BILLIONAIRES- The founding of facebook: a tale of money,genius and betrayal

    Yeah, but itakuwa displayed kesho or anytime mods watakapokuwa wameifanyia moderation yao
  10. Stand alone

    THE ACCIDENTAL BILLIONAIRES- The founding of facebook: a tale of money,genius and betrayal

    People are freaking out bila kujua, ila story nishaipost toka jana lakini status yake ni kwamba bado inasubiri moderation ili iweze kuwa displayed publicly, as you know mods are bussy that's why hata wanachelewa kuifanyia moderation
  11. Stand alone

    THE ACCIDENTAL BILLIONAIRES- The founding of facebook: a tale of money,genius and betrayal

    Sikulamu, sio kosa lako, ila next time usijaribu kutake vitu personally, infact mi ndo nilipenda kuianzisha hivyo kuimaliza ni jukumu langu pia
  12. Stand alone

    THE ACCIDENTAL BILLIONAIRES- The founding of facebook: a tale of money,genius and betrayal

    Tyler na Cameron walikuwa wameketi wakisubiri kuonana na Raisi wa chuo, Tyler alikuwa amechoka na kupuuzwa kwani alikuwa ameshafika sehemu mbali mbali za uongozi mpaka kenye board ya chuo ambayo ilisema kuwa kesi hiyo ipo juu ya uwezo wao, Mark mwenyewe alikuwa amepuuzia amri yao waliyomtaka...
Back
Top Bottom