Ulipokuwa na miaka 14 ulikuwa unafanya ngono kwa sababu unaitikia vichocheo( hisia zako zinakutuma), na kwangu mimi hiyo shida. That's the way we are wired;unampenda au kumtamani mtu, then unamake efforts kumpata.
Lakini wewe kutoa ngono kwa sababu ya kuhaidiwa kazi, thats completely...
Sema sina nguvu za kuandika maelezo mengi. Lakini kwa kusummarize ni kwamba "We are what we repeatedly do ". Kuna vitu unapovifanya, your conscience (dhamiri) taratibu inaharibika, mwisho wa siku ukipata changamoto kama hiyo unakuwa huoni noma kufanya mbinu ile ile, tena unaweza kuanzisha wewe...
Huyu jamaa alibahatisha hii track.
" Nilianza hustle mdogo mdogo wakaniona fala. Mi nimeanza kumake dollar kabla ya kujua kuflow, so hainipain nikikosa kufanya show. Mi ni mjeshi Komandoo. "
Nimemfahamu kupitia Instagram. She is a talented and confident young lady. The future is very promising for her, taking into account the fact that she is coming from a very supportive family. We must take this as a lesson and inspiration to fight for a better life.
I believe she has realized...
Mbona sijaona tangazo kwamba imefungwa? Ila sio kesi, mimi nilikuwa namuongelea huyo mdada kwenye picha na sio mke wako. Amenivutia sana ingawaje huwa sipendi mavitenge.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.