Recent content by stable

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Bilionea Sir Wicknell na Mke wake Lulu Chivayo

    Unaniambia nadhani, ivi uliona ajali ya Kobe Bryant na Mwanae! Uliona vichwa?? Mzee mwenyewe hapo huelewi utakufaje.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Bilionea Sir Wicknell na Mke wake Lulu Chivayo

    Duh! Hujafa hujaumbika. Ukiwa na afya na kuvuta pumzi, unahisi walio tangulia mbele ya haki ni kama wazembe! Kifo kinakuja kwa namna yoyote! Kifo sio laana.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tofauti iliyopo kati ya soundbar, subwoofer, home theater na hifi

    Sony BRAVIA Theatre System 6 (1000W), ina soundbar + subwoofer + rear speakers, wakati JBL Bar 500MK2 ina soundbar + wireless 10-inch subwoofer, bila rear speakers. Tofauti muhimu KipengeleJBL Bar 500MK2Sony BRAVIA Theatre System 6 Power750W max1000W total Channels5.15.1 Subwoofer10"...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tofauti iliyopo kati ya soundbar, subwoofer, home theater na hifi

    Sony mtoe kwenye hii orodha! Hiyo Sony Bravia ya 1000W ni poor ukilinganisha na JBL Bar 500 Mk2 Watt 750. All in all, kama unapenda quality sound, super and well balanced, Kampuni ya BOSE ndio suluhisho la mziki mtamu, balanced na wakitajiri zaidi.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Vikao vya Online hasa vya Serikali, Je usiri au Confidentiality, (information Protectionism ipo)

    Nimewaza sana matumizi ya Google Team, Zoom na Apps nyingine nisizo zifahamu zinazo tumika kuendesha vikao mbalimbali, na hata hutumika katika matumizi Serikalini. Je? Tuna uhakika na usalama wa taarifa zetu!? Maana Apps hizi ziko controlled na wao!!. Tumeweza ku develope emails na mengine...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Legacy kuu za Mwalimu Nyerere: Mwiba mkali kooni mwa Watanganyika

    Tuwe tunasoma, tujue mataifa mengine yalipitia wapi mpaka kufanikiwa. Soma historia ya USA, pamoja kuwa na Marais wengi, lakini walioleta mapinduzi ni wachache sana. Hivyo, mpaka sasa TZ Bado tuna struggle kupata mtu sahihi wa kituvusha hapa! Wala sio kwa maamdamano , ispokuwa matumizi sahihi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Legacy kuu za Mwalimu Nyerere: Mwiba mkali kooni mwa Watanganyika

    Ni rahisi sana kwa sasa kuona wakati wake alikosea! This is a principle! No wonder hapo ulipo Kuna nyakati unaona Baba yako mzazi kuna mahali ali mess up katika kuipambania familia yenu. Hii inamaanisha kuwa hakuna binadamu aliye kamilika. Lakini! Independence for struggle wasn't easy at all! I...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Legacy kuu za Mwalimu Nyerere: Mwiba mkali kooni mwa Watanganyika

    Dhana ya kuwajali, nimeichukua kwenye namna Public funds ilivyokuwa inatawanywa, na namna yeye binafsi alivyotumia Ofisi kwa manufaa ya wote. Itoshe kusema, alikuwa binadamu kama ulivyo wewe, mapungufu ni kawaida!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Legacy kuu za Mwalimu Nyerere: Mwiba mkali kooni mwa Watanganyika

    Sio sahihi! Nadhani umetumia maneno makali zaidi kuchangia mada hii. Unaposema alikuwa anatumiwa, niambie yeye alinufaika na nini katika kutumiwa kwake,? Maana hakuwa na Utajiri wa kujilimbikizia mali! zaidi wakati wake hakukuwa na exploitation kubwa ya natural resource! Na ni yeye alizuia...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Legacy kuu za Mwalimu Nyerere: Mwiba mkali kooni mwa Watanganyika

    Kwani alikuwa anaongoza mazombi? Kwanini hao waongozwa kipindi hicho hawakuchukua hatua? ,Leo ambao hawakuwepo ndio wanabebeshwa lawama za kuto chukua hatua!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Legacy kuu za Mwalimu Nyerere: Mwiba mkali kooni mwa Watanganyika

    Japo tunajifunza kupitia historia, in my view! Nyie wasomi ndio tatizo la haya yote, na hasa nyie wasomi wa kipindi cha mwalimu hadi miaka ya 90s. Malcom huwa najifunza mengi sana kupitia maandiko yako, lakini Kuna namna hata nyie kizazi chenu ni hasara, tena nyie ndio source ya haya yote...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Si sahihi kumdhalilisha mtu online, si ubinadamu. Kuweka picha za mtu za faragha si sahihi, Sasa naelewa kwanini Serikali inadhibiti maudhui

    Dunia hii ya Leo, wewe ni wa kurecord picha za namna ile, kama kweli unajiheshimu! Mbaya zaidi muda wowote unaweza poteza simu! Hawataki kujifunza, na tamaa zao za fedha zinawafikisha huko.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Si sahihi kumdhalilisha mtu online, si ubinadamu. Kuweka picha za mtu za faragha si sahihi, Sasa naelewa kwanini Serikali inadhibiti maudhui

    Alirecord kwa ajili ya nini? Kitendo cha kutumia Simu ya mkononi kurecord, it's all about for public consumption. Hopefully lengo lake limetimia. Mtu timamu buwezi kujirecord ukiwa katika kile kitendo, "for what"?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Maalumu kumsaidia Rais (target upigaji kwenye procurement). Faida kwa Taifa

    Soma Sheria na kanuni, itakiasaidia uelewa, pia soma Majukumu ya Idara tumizi na Majukumu ya PMU. Mfumo umesaidia sana kupunguza physical interaction Kati ya Mwajiri na Mwajiriwa, kitu kinachopunguza kabisa rushwa. Zaidi, vigezo vya uchambuzi na bajeti ya Taasis ni sehemu muhimu ya kumpata...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Chuo Cha Kwanza Cha Vinyozi Tanzania

    Kina muda mrefu sana, baadhi ya jamaa zangu walikuwa wakufunzi pale
Back
Top Bottom