Recent content by ssssoki

  1. ssssoki

    JamiiForums Gharama za bando zitaua creativity, biashara na ndoto nyingi za vijana

    Watatuuuwa wameanza na Sabaya wankuja kutumlizia [emoji28][emoji28]
  2. ssssoki

    JamiiForums Anatafuta kazi yoyote

    Jamani wakuu dada angu hugo anatafuta kazi yupo mkoani miaka 21 education level iv kazi za ndani hotel duka.shell mshahara 100,000 .150,000 na kuendelea namba yake 0745 286528 jamani kuuuu mumpe kazi mkoa Mwanza Kilimanjaro Dodoma Morogoro Zanzibar 0717048874.
  3. ssssoki

    JamiiForums Tupeane michongo ya machimbo mkoani Katavi

    mkuuu naomba mawaslino yako nazani tukizungumza unaweza kunipa darasa
  4. ssssoki

    JamiiForums Tupeane michongo ya machimbo mkoani Katavi

    ndooo yupi mkuuu nipe namba yake mkuu au account yake
  5. ssssoki

    JamiiForums Tupeane michongo ya machimbo mkoani Katavi

    Jamani, kuna yeyote anayeishi Katavi, hasa Mpanda, au mwenye ndugu wa huko? Nimesikia biashara ya nguo za mtumba inalipa sana huko. Kama una uzoefu au unafahamu hali halisi ya biashara hiyo, naomba unipe taarifa. Unaweza kunitumia ujumbe binafsi (DM). Nitashukuru sana.
  6. ssssoki

    JamiiForums Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Mkuu nitafute in box yanguu mimii nataka niende south Africa nikauze daga wa kigoma naskia south Africa wanalipa sanaa mboga za wazulu wazkubali unipe uziii jinsi ya kuish na ku stay safe
Back
Top Bottom