Recent content by SSEKK The Literally

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tufuate mfano wa malezi wa Christiano Ronaldo; hebu msikilize kwa makini hapa

    Natarajia mtoto hahaaa nitamtunza sana
  2. S

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Bora JPM apuzishwe sasa nchi ina amani sana hii, Mama aupga mwingi Mi5 tena kwa Mama, Wote tunampenda, Wakat wa JPM tulkuwa tunatekwa sana lkn kwa Mama ni full amani hakuna mtu anaekufa chini ya Mama, Mama aongoze milele.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Exposure ya Diamond ni ndogo, anahisi hapa Tanzania ana pesa nyingi, kumbe kuna watu

    Wewe nae ni kiande km viande wengne mzee😁 mm kutokuwa na buku bank Haitoi ukweli kwamba hakun mtz atakuj kuwa Tajiri namba 1 duniani. Huyo Mond pale Kawe hafui dafu, mnapamba ujinga tu.
  4. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

    Nisisikie tena mtu anamsemea vby JPM, Mungu atazidi kuwanyoosha na si ajabu hata huyo mzee alfurahia sana kifo cha Magufuli, mtu alkuwa anapambania taifa mnamjaza na kumsakama na mambo kibao. Baada ya kifo cha JPM some of you dare to say we are now free, we are now new ,you enjoyed the death of...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Exposure ya Diamond ni ndogo, anahisi hapa Tanzania ana pesa nyingi, kumbe kuna watu

    Hyo Paundi billion 1 ikiletwa Tz kujenga mkoa mmoja huo mkoa kunakuwa kama ulaya 😁
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kilimanjaro kinara watu wake kuishi umri mrefu Zaidi Kitaifa

    Vijijini wazee ni wengi kulko mjini, Kilimanjaro watu wengi wanaishi ktk mazingira ya vijiji, mji ni mdogo sana, mjini ni kaeneo kadogo tu hvo wana maintain utulivu ukizingatia hospitals zipo na zina mudu watu ,Unlike mikoa mingne watu wengi huduma za kijamii chache ,Refer : Mwanza and Dar es...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Exposure ya Diamond ni ndogo, anahisi hapa Tanzania ana pesa nyingi, kumbe kuna watu

    Mwanza Kule kuna watu wana mikwanja ,Arusha huko nako wapo Dar ndio kbsaaa na wote wala hajawakarbia kimkwanja hpo kuwa tu tajiri namba 1 wa Tz ni kimbembe kwake. Kina Drogba, Akon ,Samwel Eto'o wanamiliki migodi mikubwa sana huko makwao na wamejengea vijiji vyao mahospital, shule, umeme...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wangapi tunahitaji kufahamu ukweli juu ya huyu binti?

    Ni mTanzania hyu me nlimuona KAHAMA ila sikujua km ndio kwao ama yupo mishemishe.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wangapi tunahitaji kufahamu ukweli juu ya huyu binti?

    Zimbabwe wanaongea Kiswahil!?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wangapi tunahitaji kufahamu ukweli juu ya huyu binti?

    Huyo ni mTZ I once saw him in KAHAMA ni shabiki wa Simba Sc kindakindaki na anaongea kiswahili fresh kbs ,sema Kuna Parody la South Africa linamtumia sana.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Xi JinPing: China Kuijenga Tanzania Kuwa Mfano na Kielekezo Cha Ushirikiano wa Kimkakati wa China & Africa kwenye Miundombinu "Belt and Road Iniative"

    Afrika hasa Tanzania tunahitaji kutawaliwa tena. Msaada wa kufufua reli yenye share ya nchi mbili! Tz na Zambia wameshindwa kuipambania hyo reli kweli!? NB: Huo sio msaada ni wizi.
Back
Top Bottom