Recent content by SSB

  1. S

    My sons raped my sisters son

    Pole yake huyo dada na familia yake.., kweli huu ni uzembe wa kutowajari watoto iliyopelekea wakajifunza tabia mbaya toka kwa marafiki zao bila ya wazazi kujua. La kushangaza, baba anatetea wasipelekwe Segerea!!.., ingekuwa ni mtoto wake wa kuzaa amefanyiwa na watoto wa ndugu yake...
  2. S

    Compiled Vacancies (Week 31 2009)

    Hii iko juu.., ni safi sana kaka, pongezi na endelea na moyo huo huo.., hii itasaidia wengi Cheers
  3. S

    Zain kunatisha!

    Jamani mambo yanazidi kuwa magumu kila kukicha, leo kwa wenzetu wa Zain, kesho it might be you or me.., hali inatisha sana. La muhimu ni kujipanga upya na tuombe Mungu atunusuru na hili balaa.. sasa Africa ndo tunaanza kuona effects za financial crisis..,
Back
Top Bottom