Recent content by ssafari

  1. S

    Kanisa la Tanzania linapitia kipindi kigumu sana. Mungu alinusuru

    Point no 4, Refer sadaka aloitoa Mungu kumtoa Yesu Kristo, Ibrahimu kumtoa Isaka. Hivyo basi huoni ya kuwa Mungu mwenyewe ndio muanzilishi wa Sadaka??? Sadaka ni divine invitation, Kamsome Kornelio, Dorcas na Daudi.
  2. S

    GE2020 IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro

    Mkuu mbona unashangalia sana kama vile wewe utakuwa salama!, hilo unalosema kinukisheni hata wewe hautokuwa salama hata kidogo.
  3. S

    GE2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

    Mkuu nafikiri umesahau kujiuliza maswali ya aliyewatoa walinzi wote wa kwenye nyumba za viongozi. Pili hebu jiulize hata aliyetoa CCTV cameras. Tatu jiulize kwanini interejensia ya polisi haikupata taarifa kama wanavyopatataga taarifa kwenye vikao au mikutano ya ndani ya chadema?
  4. S

    GE2020 Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC), nawasihi, kupitisha jina la Lissu kugombea Urais, ni kuweka rehani Amani na Usalama wa Taifa

    Mumeshaanza kuweweseka, si mulisema ccm yenu inapendwa??? Sasa tulieni ili tuone sanduku LA kura linasemaje hiyo October.
  5. S

    Kati ya Fuso Tandamu na Scania Kipisi ipi ni gari nzuri kwa mtu anayeiingia kwa mara ya kwanza kwenye biashara ya usafirishaji?

    Mkuu tandamu ni gari ambayo inauza sana sokoni, kwamaana wateja wake ni wengi sana. Lakini kipisi kipo slow kidogo kwa kujiuza sokoni japo kinadumu sana kwenye issue za matengenezo. Tandam inahitaji ovaollu kila baada ya miezi 6 hadi miezi7
  6. S

    Mchungaji Mashimo kufungua kesi dhidi ya CHADEMA kudai fidia ya bilioni 2

    Mwambieni awalishe kondoo neno la Mungu kondoo wake
  7. S

    Biashara ya Nursery and Day Care Center: Mbinu, changamoto na fursa zake

    Mkuu mie nitakujibu kiufupi, kwanza hongera sana kwa hiyo nia ya kutaka kufanya hiyo huduma. Jamii yetu inauhitaji mkubwa sana was hizo huduma hasahasa maeneo ya mijini kwakuwa muda mwingi watu wako bize kutafuta maisha so wanahitaji hizo huduma ili watotot wao wapate sehemu ya kushinda majira...
  8. S

    Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

    Good morning, watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa...
  9. S

    Sakata la ukosefu wa ajira nchini: Muhitimu wa Ualimu wa sekondari aamua kuuza baa(barmaid)

    Japo zote ni kaazi kama zilivyo kazi nyingine. Ila huwa ninaumia sana kuona walimu hawataki kujiongeza kutoa maarifa yao kwa jamii zinazowazunguka kwani taifa letu( jamii) limeandamwa na adui ujinga na wao walimu ndio watu pekee wakutusaidia kumuondoa huyo adui ujinga.
  10. S

    Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

    Poleni sana, ila ni kama wamejitakia kwa tamaa yao ya fedha za haraharaka. Kumbuka kuwa Mungu alisema tutakula kwa jasho
  11. S

    Tangazo la Tigo: Baba umempataje mama? Na maadili ya watoto

    Serikali sikivu italifanyia kazi.
  12. S

    Rais Magufuli sisi wananchi wa Singida Mashariki tunahitaji mbunge

    Rais hahusiki na hayo mambo ya kutangaza mambo ya uchaguzi. Ila kumbuka ya kuwa yule ni mbunge wetu na tunampenda na tunamuombea apone haraka na kurejea kwenye majukumu yake.
Back
Top Bottom