Kwa maoni yangu, kuondoa matatizao kwa watu wa kipato cha chini, ni kwa wahusika kusimamia bei za consummables, kwama india kwa ,mfano,,,,bei ya kila kitu in bar code na maandishi yanayoelezea kikomo cha bei na kodi yake. Hivyo muuzaki hawezi kamwe kubadilisha bei kwa kuangalia sura yako au...