Mfumo wa elimu ya TZ Primary na Secondary upo kisasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfumo wa elimu ya TZ Primary na Secondary upo kisasa?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Achahasira, Aug 30, 2011.

1. Achahasira

Achahasira JF-Expert Member

#1
Aug 30, 2011
Joined: Mar 9, 2011
Messages: 1,219
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
ndugy wana jf mimi nimesoma elimu ya kibongo na ya kingereza nimeina tofauti kubwa sana kwenye kumjenga mwanafunzi.nyie wakuu muna onaje tubadilushe mfumo au?

2. S

SrDoc New Member

#2
Aug 30, 2011
Joined: Aug 28, 2011
Messages: 2
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

My friend, watoto wetu wanakuwa overloaded na syllabus za ajabu. Wanakariri na kuimba kama kasuku...kwa wanaoweza. hivyo wanakariri lakini hawaelewi. Kumbuka enzi za Nyerere.....tulifundishwa vitu vya msingi, step by step.....ukiona syllabus ya primary sasa ni kama ya form four au form six......walimu wenyewe hawawezi kuifuata, kwani watunzi wa vitabu wana copy na ku paste...alimradi wauze vitabu kwa nguvu ya udikteka wa kidola......kama blackmail vile.. INASIKITISHA SANA. Kurasa, pages, drawings, paragraphs ziko soooooo weird, utashangaa. sijui syllabus hii wameitoa wapi, ya Illahi. Please eneza blog hii hata kwa email mpaka wadua, na hano wauza vitabu wenyewe waipate....watunga vitabu vya copy na paste

3. Rweye

Rweye JF-Expert Member

#3
Aug 31, 2011
Joined: Mar 16, 2011
Messages: 15,061
Likes Received: 3,089
Trophy Points: 280
Yawezekana isiwe ya kisasa bali ikawa ni elimu inayoweza kumsaidia mtoto akikua aweze kujitegemea na kushindana popote pale atakapokuwepo,hiyo ndo elimu tunayoitaka Tanzania ya leo

Isiwe hii inayotolewa leo yenye masomo 10 primary na bado ukipima uelewa kwa watoto ni sawa na ambaye yuko chekechekea asiyeweza hata kukwambia kwa nini yuko shule,mgugu wa masomo hauwasaidii watoto wetu...mtoto primary ana mgugu wa madaftari utadhani yuko sec tena form4,tuangalie zaidi content ya masomo yenyewe kuliko kuanzisha masomo ilimradi mtoto anabeba madaftari kumbe mwisho wa siku ni mizigo tupu...mboma sie tulisoma masomo 7 tu wakati tukiwa primary na bado tulikuwa fiti mpaka leo?haya 10 ni kwa ajiri ya nani?na mbona hayaonekani kumsaidia huyu mtoto?ama ndo FLAG INDEPENDENCY kila kitu kwa wahisani mpaka elimu yetu ya msingi tunapangiwa na wahisani?

4. Achahasira

Achahasira JF-Expert Member

#4
Aug 31, 2011
Joined: Mar 9, 2011
Messages: 1,219
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

srdoc,nimesoma elimu yetu hii mpaka form six nikapiga necta.necta nilipasua sana.alafu nikafanya cambridge ambayo ni paper rahisi lkn ni kujibu kwa kuelewa kwa bahati nzuri siku feli lkn nibahatika kupata maksi za university.saivi nipo chuo nje ya nchi yaani na wenzangu wote wa kibongo hapa tunateseka kwenye mitihani vi project fulani fulani.kama tunataka maendeleo kwanini tusianze na msingi kama china alivovfanya hatuwezi kujenga ghorofa lakti huku chini ujinga.

5. Achahasira

Achahasira JF-Expert Member

#5
Aug 31, 2011
Joined: Mar 9, 2011
Messages: 1,219
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

rweye,unayo sema ni kweli kabisa wingi wamasomo sio suluhisho.mimi naina afadhali waliosoma zamani kuliko sisi wa sasa.

6. khayanda

khayanda JF-Expert Member

#6
Aug 31, 2011
Joined: Nov 6, 2007
Messages: 248
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
Sio wingi wa masomo tu hata vitabu kila siku watoto wanaagizwa kitabu kipya, sijui watunzi wanatembelea na kula na wenye shule>

7. khayanda

khayanda JF-Expert Member

#7
Aug 31, 2011
Joined: Nov 6, 2007
Messages: 248
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
Ukitaka kujua elimu yetu mtata na siyo ya kisasa, labda ya kisiasa, andaa mdahalo waalike hao Dot.com usikie lugha zao zitakazotumika, hadi utadai english plissshiiii, ndiyo utajua elimu yetu ilivyoangamia. tatizo la lugha sasa linazidi hata la hisabati na masomo ya sayansi

8. Ruge Opinion

Ruge Opinion JF-Expert Member

#8
Aug 31, 2011
Joined: Mar 22, 2006
Messages: 1,696
Likes Received: 306
Trophy Points: 180
Aliyeanzisha thread hii amesema amesoma elimu ya kibongo na ya kiingereza (natumai ni ya Uingereza). Basi angetwambia tofauti alizoziona kutokana na uzoefu wake ili tupate mahali pa kuanzia mjadala. Je, elimu ya Waingereza inawatayarishaje kukabiliana namaisha? Hao tuliowaona juzi mitaani wakifanya vurugu wametayarishwa vipi na hiyo elimu? Nachokoza tu.

Loading...