Dah pole sana , nimeisoma hadithi nikaitafali , kwa upeo wangu hilo ni dili tena huyo rafiki yako ndio aliopanga nao , hapo kwenye siti ndipo nahisi rafiki alishiriki na jamaa , na huyo mzee naye pia alishiriki kwenye mchezo . Rafiki yako alikiwa anajuwa weakness zako hivyo wakapanga kumtafuta...