Recent content by spyro

  1. spyro

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha Kituo cha Cable TV

    Upo mkoa gani ndugu
  2. spyro

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Nikimtumia mtu tafadhali nipigie, yeye anapokea ujumbe wa tafadhali nipigie ukiwa na namba tofauti na namba yangu. Mimi namba yangu ni 0765637XXX, je tatizo ni nini?
  3. spyro

    JamiiForums Tanzania Je, huwa inatokeaga au ndio aina ya wizi wa kimtandao.

    Screenshot
  4. spyro

    JamiiForums Tanzania Je, huwa inatokeaga au ndio aina ya wizi wa kimtandao.

    Habari wana janvi. Leo nimepatwa na kitu kisicho cha kawaida na ninaomba msaada juu ya hili. Nina line yangu ya vodacom ambayo namba yake ni 0765637×××. Ninapoitumia line ya namba hiyo kimtumia mtu tafadhali nipigie yeye anapata ujumbe huo lakini namba inakua ni tofauti kama inavyoonekana hapa...
  5. spyro

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Samaki aina ya Nyika wanaopatikana mkoa wa Kigoma

    Aisee, niliona kupitia wild animals channel huyo samaki kwa umeme anaozalisha mwilini mwake anaweza unaua mpaka mamba. Pia kuna movie inaitwa amazing spider man wamemtumia wakionyesha kiwanda kinazalisha umeme kwa kuwatumia hao samaki.
  6. spyro

    JamiiForums Tanzania Waafrika Kusini ni watu katili kuliko mnavyodhani

    Wewe umeona ENGLISH ndio lugha pekee ya kujieleza vizuri...kuna kinywaji kinaitwa GONGO huwa wanywaji wake wanaongeaga kwa syle hiyo ya kwako, ila wenyewe wamekuzidi kidoogo kwa ustaarabu.
  7. spyro

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje uwe Dar es Salaam halafu hujui baadhi ya maeneo ya Dar

    Na ungekua unaishi nje ya tanzania ingemind kuwa kuna baadhi ya watu hawajui wilaya, au vitongoji vingine vya tanzania ingawa wanaishi tz. mm nilipo ukiniuliza ofice ambayo haiusiani na mishe zangu za kila siku sitakua na jibu la kukupa.
  8. spyro

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wanaJamiiForums wote

    Ulishaiangalia RANGO na KUNG FU PANDA.
  9. spyro

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wanaJamiiForums wote

    ......
  10. spyro

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wanaJamiiForums wote

    Umeshaiona hiyo katunu ee, ipo poa sana. Huwa sichoki kuitazama
  11. spyro

    JamiiForums Tanzania Hakuna ajali nyingi kama tunavyotaka kuaminishwa bali kuna mitandao mingi ya kijamii inayokuza mambo

    Kwa hiyo mtoa mada unabisha kuwa kipindi hichi tangu january 2015 ajali kwa njia t Ya barabara sio nyingi kulinganisha na siku za nyuma, ni sawa na siku za nyuma au vp?
  12. spyro

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wanaJamiiForums wote

    Kwa kweli........daaaa.
  13. spyro

    JamiiForums Tanzania Watanzania kupenda kucheza kwaito ni ujinga?utumwa? ujanja ama ulimbukeni?

    Hii style nilikua siipendi kwa sababu ilikua inanishindaga, ikianza tu watu wamejipanga mm nakaa zangu pembeni nawaangalia huku nimkodolea dj atamaliza saa ngap. Ila nilipokuja kuijua duuuu ndio nipogundua kwann ikianzaga hua dj anachukua hata masaa mawili kubadili mziki. Kwaito ipo poa ila kila...
  14. spyro

    JamiiForums Tanzania AJALI: Basi la kampuni ya Jordan lapata ajali na kuua

    Tuseme ni hali ya hewa mbayaa au vp, lakini hapana mvua hazijaanza kunyesha leo. Mungu atunusuru kwa kweli. Poleni wote.
  15. spyro

    JamiiForums Tanzania Kwanini kahawa haiwekwi sukari?

    Nani haweki sukari?
Back
Top Bottom