Wananzengo nimeamka toka usingizini baada ya kuota ndoto ya kutisha. Yupo wapi huyu aliyewahi kuwa shushushu number moja Tanzania.
Narudi kuutafuta usingizi tena.
Wakuu habari za mchana.
Serikali yetu inapambana sana kuwaletea wananchi wake maendelea. Naipongeza kwa kazi nziri.
Pamoja na hayo nna jambo ambalo limenifanya niandike uzi huu. Kuna service road zimejengwa ili kusaidia kuingia Magufuli Stendi na Stendi Ndogo ya Daladala Hapa mbezi. Ukiwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri Kama ifuatavyo:
Amemteua Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali Mhe. Dkt.Tax alikuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la...
Kunapotokea kashfa kama hii Serikali na Kanisa kama huwa wanaficha ficha hata mhusika hawekwi wazi. Ingekuwa ni chalii tu wa kitaa kafanya hili jambo tungekuwa tunamjua mtuhumiwa na hata ukoo wake mzima.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.