Yote uliyosema ni fikira zako kila mtu ana mtazamo wake ila kuna maswali kaa chini ujiulize
Je kampeni za kuongeza muhula ni za nini...??
Je kweli maendeleo aliyofanya hakuna mwingine ambaye anaweza kuendeleza hadi zianze kampeni za kuongeza muhula..??
Ni kweli hakuna rushwa na umasikini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.