Recent content by Sportivo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mashine za EFD sasa kutolewa bure na Serikali!

    Swala la mashine siyo small issue. Hili lilkuwa kero kubwa kwa wafanyabiashara wadogo! Just imagine; mfanyabiashara mdogo unatoa kati ya laki 8 hadi zaidi ya Milioni moja> mtaji wote unateketea!!!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Majambazi wavamia na kupora pesa CRDB na DCB Bank Chanika

    Kwa kweli hii hali ni ya hatari.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Majambazi wavamia na kupora pesa CRDB na DCB Bank Chanika

    Ni hatari. Wananchi tuanzishe vikundi vya Ulinzi jamii.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Kanda ya Dar: Marufuku Mikusanyiko ndani ya mita 200 baada ya kupiga kura

    Kuna watu amani imewachosha! Hivi vyama vyote vikiamua kwa tafsiri yenu "kulinda kura" patakalika na mori hizi za kishabiki? Serikali chukua hatua, hayo ni mawazo ya wachache wasioona mbali!!!
Back
Top Bottom