Recent content by Sponsor1

  1. S

    Karibuni kwenye huduma za Kisaikolojia

    Wote mnakaribishwa.
  2. S

    Kwenye account yangu ya Ajira portal Application zangu 2 tofauti zina rangi tofauti.

    Lini nimekuja na Id ya Siasa? Au unanifananisha ndugu yangu?
  3. S

    Kwenye account yangu ya Ajira portal Application zangu 2 tofauti zina rangi tofauti.

    Dharau zako hua zinakuingizia Sh ngapi kwa siku?
  4. S

    Kwenye account yangu ya Ajira portal Application zangu 2 tofauti zina rangi tofauti.

    Nawashukuru kwa mrejesho wenu chanya.Hata walio challenge hasi nawachukulia Chanya
  5. S

    Naomba ushauri kwa waliofanya usaili wa Utumishi hivi karibuni

    Habari za leo wadau wa JF. Mimi ni Mwalim wa Kingereza Ngazi ya Shahada. Naomba uzoefu kidogo kwa wale waliofanya usili wa Utumishi wa online wa hivi karibuni. Je, 1. Maswali ni ya kuchagua au ya kujieleza? 2. Maswali ni ya kulenga zile duties zilizoandikwa kwenye Tangazo? Asanteni sana...
  6. S

    Je, ni kweli watu weupe (Wazungu, waarabu nk) miili yao ni ya baridi tofauti na weusi?

    Nimekua nasikia siku nyingi kua watu weupe mfano wazungu,waarabu n.k miili yao ina baridi kama barafu wakati wa tendo la ndoa tofauti na watu weusi,kuna ukweli juu ya nadharia hii?
Back
Top Bottom